Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Naomba wimbo wa Patricia Hillary sijui jina lake ila una maneno yafuatayo "Sitasitaki visa vyako we baba".Aliimba pia wimbo wa Nimdodo.
 
Yule anaitwa killa mbongo, aliacha muzikinbaada ya kupata kansa ya koo kama ilivyokuwa kwa marapa wengi wanaogani kongo, baadae akabwia kwenye unga na kuwa teja. Kwa siku za hivi karibuni Extra Musica International wamejaribu kumrejesha stejini lakini sauti yake haijawa sawa kutokana na madawa ya kulevya,...muda mwingi yupo ufaransa.
 
Mkuu unaweza kutupa historia kidogo za Deo Mulanga na yule Guitarist Jimmy ambao wote wameshiriki kwenye nyimbo kadhaa za Koffi Olomide kama vile Evangile,Kramogo na nyinginezo.
 
Katika Effrakata marapa ni Brigade Sarbati na Bébé Kérozène na Force de frape ni Ocean Zibankulu (R.I.P)
 
Katika Effrakata marapa ni Brigade Sarbati na Bébé Kérozène na Force de frape ni Ocean Zibankulu (R.I.P)

Walifanya kazi kubwa saana mule, ile kazi ni kiwango cha ISO, kazi haziniishi hamu masikioni.

Kazi zao nyingine ni kama zipi na zipi?
 
Kuna wimbo sjui uliimbwa na bendi gani ia ni congo wanaimba kalai bwile jamani nisaidie
 

Attachments

Kuna wimbo huwa unaimbwa kwamba kulutu kulutu kuba kub a mwenye nao anisaidie tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…