Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Jamani kuna wimbo mmoja wa kikongo sijui jina lake ila kuna neno linajirudia mara nyingi zaidi linaitwa " Sabiii"
 
Naomba nikurudishe nyuma kidogo hadi miaka ya 1970's mwanzoni. Natafuta wimbo wa Negro Success "Matondo ya Beya"
 
Attachments

Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa.

Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
Tafadhari, nisaidie album/tracks zilizopo kwenye album ya Sweet Africa vol 3
Screenshot_20200821-063228.png
 
Yes wa Kibongo.
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
"Tulia wangu mpenzi tulia,Tulia nami nipate tulia"
"Ni Wewe ndio furaha ya moyo wangu"
"Tahasuli mama wa watoto wangu"
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
Huu hapa ila sijui jina lake.Ni mrefu sana kama taarabu.
 
Attachments

Kuna wimbo mmoja wa kikongo, jina lake sikumbuki ila ndani wanataja majina ya wasanii wakubwa wa Kongo, kuna kionjo kama cha Lelee lele le le lele lele, lelee lele le le lelee. utaniskia wanataja majina kama pepe kalee,...... kofi olomide aeeee. Nautafuta sana tafadhali nisaidieni.
 
Loi uko YouTube acha uvivu, huo wa pili nitakupa jina lako kesho ila Ameimba Madilu
Kuna wimbo mmoja wa kikongo, jina lake sikumbuki ila ndani wanataja majina ya wasanii wakubwa wa Kongo, kuna kionjo kama cha Lelee lele le le lele lele, lelee lele le le lelee. utaniskia wanataja majina kama pepe kalee,...... kofi olomide aeeee. Nautafuta sana tafadhali nisaidieni.
 
Naomba wimbo fulani unaoimbwa.

Ooooooooooh Afrika!
Oooooh Afrika!
Oooh Afrika!!!

Sina uhakika kama ni wakikongo ila ni wimbo ambao kuna msanii hapa bongo ametumia kionjo chake kwenye wimbo wake.
 
Huo wimbo unaitwa L'Eau umeimbwa na marehemu Madilu System.Jaribu kuutafuta YouTube utaupata.
 
Back
Top Bottom