Oscar M Lungu
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 477
- 741
Jamani kuna wimbo mmoja wa kikongo sijui jina lake ila kuna neno linajirudia mara nyingi zaidi linaitwa " Sabiii"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba album nzima ya divise par deux Pepe Kalle.
Tafadhari, nisaidie album/tracks zilizopo kwenye album ya Sweet Africa vol 3Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa.
Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
Naongeza volume
Huu hapa ila sijui jina lake.Ni mrefu sana kama taarabu.Yes wa Kibongo.
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
"Tulia wangu mpenzi tulia,Tulia nami nipate tulia"
"Ni Wewe ndio furaha ya moyo wangu"
"Tahasuli mama wa watoto wangu"
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
Jamani kuna wimbo mmoja wa kikongo sijui jina lake ila kuna neno linajirudia mara nyingi zaidi linaitwa " Sabiii"
Ni wa pepe kalle ?
Kuna wimbo mmoja wa kikongo, jina lake sikumbuki ila ndani wanataja majina ya wasanii wakubwa wa Kongo, kuna kionjo kama cha Lelee lele le le lele lele, lelee lele le le lelee. utaniskia wanataja majina kama pepe kalee,...... kofi olomide aeeee. Nautafuta sana tafadhali nisaidieni.Loi uko YouTube acha uvivu, huo wa pili nitakupa jina lako kesho ila Ameimba Madilu
Naomba wimbo fulani unaoimbwa.
Ooooooooooh Afrika!
Oooooh Afrika!
Oooh Afrika!!!
Sina uhakika kama ni wakikongo ila ni wimbo ambao kuna msanii hapa bongo ametumia kionjo chake kwenye wimbo wake.
Huo wimbo unaitwa L'Eau umeimbwa na marehemu Madilu System.Jaribu kuutafuta YouTube utaupata.Kuna wimbo mmoja wa kikongo, jina lake sikumbuki ila ndani wanataja majina ya wasanii wakubwa wa Kongo, kuna kionjo kama cha Lelee lele le le lele lele, lelee lele le le lelee. utaniskia wanataja majina kama pepe kalee,...... kofi olomide aeeee. Nautafuta sana tafadhali nisaidieni.
nimeupata leo baada ya kusikiliza vyema tena kupitia radio free Africa. wimbo unaitwa Nzambe wa kanda bongo manSina uhakika sana kaka. Naomba tu kama upo wa aina hiyo naomba nitumie
Naomba nyimbo ya tot plas inaitwa mtoto mtukutu rapa amepiga Papi Kocha.Katika Effrakata marapa ni Brigade Sarbati na Bébé Kérozène na Force de frape ni Ocean Zibankulu (R.I.P)