Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Kuna wimbo flani uliimbwa na aliekua rafiki mkubwa wa papa wemba moja ya vibwagizo vyake ni mama na bela sheli na bela
 
Kuna wimbo fulani gitaa linapigwa kama lipo kwenye maji nadhani mpiga gitaa Ni Diblo Dibala, je wimbo huo unaupota Roga Roga?
 
mkuu Roga Roga , naomba wimbo flani hivi nadhani ni twanga pepeta. Kuna mahali wanaimba ''kazi za jikon mwachie shemeji ee."" ..,

(Ni kama jamaa anaingilia majukum ya wife jikon)...ni wazan kidogo
Huo wimbo uliimbwa na makey fanta, na band ya nina musica.
 
Natafuta wimbo wa Jamhuri Jazz Band 'Mganga No. 1'. Naomba aliye nao auweke hapa.
 
Mwenye uzi kautelekeza daah
Mwenye uzi mara ya mwisho kuonekana hapa jukwaani ni 2020,sijui kama ni mzima, yuko hai ama lah!!

Mungu amfanyie wepesi huko alipo, kama ni shughuli tu basi mungu amfanyie wepesi shughuli zake, kama ni maradhi basi ampe taafif na kama umauti ushamsibu basi ampe mwangaza kaburini.
 
Huu wimbo mtamu sana, leo nimeusikikiza pia, mwimbaji wake anaitwa CHOYO GOJERO, unanikumbusha nikiwa darasa la kwanza 1990..
Mkuu, huu wimbo unao? au unajua sehemu nnaweza kuupata?
 
Back
Top Bottom