Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,353
- 1,492
Hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pepe kale and empire bakuba wimbo unaitwa MamieMwenye kujua jina la wimbo huu na muimbaji
Huo wimbo uliimbwa na makey fanta, na band ya nina musica.mkuu Roga Roga , naomba wimbo flani hivi nadhani ni twanga pepeta. Kuna mahali wanaimba ''kazi za jikon mwachie shemeji ee."" ..,
(Ni kama jamaa anaingilia majukum ya wife jikon)...ni wazan kidogo
Mwenye uzi mara ya mwisho kuonekana hapa jukwaani ni 2020,sijui kama ni mzima, yuko hai ama lah!!Mwenye uzi kautelekeza daah
we jamaa tukupe tuzo aisee...Huu hapa ila sijui jina lake.Ni mrefu sana kama taarabu.
Jamani kuna wimbo sjui hata alieimba ila kuna maneno tu kama "danse danse eeeee, isa timi konnection............ yoyo owee..............Naomba pia ule wimbo wa salif keita - Africa
Mkuu, huu wimbo unao? au unajua sehemu nnaweza kuupata?Huu wimbo mtamu sana, leo nimeusikikiza pia, mwimbaji wake anaitwa CHOYO GOJERO, unanikumbusha nikiwa darasa la kwanza 1990..
Nadhani ni wa Papa wembaJamani kuna wimbo sjui hata alieimba ila kuna maneno tu kama "danse danse eeeee, isa timi konnection............ yoyo owee..............