Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mkuu ubarikiwe sana sana.
Kama una hizi pia nitashukuru sana
[emoji673]Oxygene
[emoji673]Success extra
[emoji673]Shalai
[emoji673]Denide

Natanguliz shukran kiongozi [emoji120]
mkuu huo oxygene tafta jina vizuri
 

Attachments

Mkuu [emoji120][emoji120][emoji120] sana
Ngj niangalie vizuri jina la huo wimbo then I will back to you once again [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
mkuu huo oxygene tafta jina vizuri
 
Ebhana ndio yenyewe hii [emoji817] % shukran mkuu!
 
Mkuu
emu naomba hili ngoma
jina silijui ila nakumbuka baadhi ya mashairi yanasema hivi
(SANGULOOO SANGULO MAMA
MAMA SANGULOO SANGULO MAMA)

Hilo dude Ni hataree
 
Nimekuchagulia hizi za chuchu sound
 

Attachments

Mkuu naomba wimbo wa Mtoto Akililia Wembe Wa TOT plus
 
Mkuu naomba nyimbo zifuatazo za wenge musica, hi ho ha, daddet, voyage mbosso,
 
Back
Top Bottom