Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Attachments

Attachments

Kuna wimbo mmoja wameimba walijiita jina kama sikosei washikaji kina ismail wa chungwa alianza kuimba imba na mpoto wimbo wao washikaji 'msamaha' kama nitakuwa nimeeleweka pia wanasegere wimbo wanaimba nibebeshe ukimwi nihangaike nao sorry kwa maelezo marefu
 

Shukrani sana mkuu

Naomba Twanga pepeta ile .. Jirani
Na Juma Kakere
 
Natafuta wimbo uitwao MINOU umeimbwa na marquiz

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kwenye post #1338

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu lakini hausikiki
Upo kwenye post #1338

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nautafuta huu wimbo bila mafanikio kabisa,,, Sweet Africa - Awana ni version ya Medley zouk mwenye nayo please atupie...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ule unasema

Naomba mpenzi nipe nafasi
nipate kusema japo nawewe kodogo.
Mwenzako naumia..

Sijui kaimba nani
 
Wazazi nakonda na mawazo..........mnanilazimisha kuolewaaaa na mimi bado ni mdogo miaka..........
Kibwagizo: Samahani samahani, samahani baba na mama.......
Jina la wimbo silijui wala mtunzi. Wadau nisaidieni ili mtaalam auweke hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom