VN Warehouse Limited
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 1,139
- 1,156
- Thread starter
- #81
Acha ubaguzi Shem, mbona we hum tag jamaa yetu wakat ye kila Post anaku tag??Kila la kheri
Hujataja location ilipo ofisi yako. taja sehemu either ofisi yenu ipo mkoa gani, wilaya gani tangazo lipo too generalaUnatafuta vifaa bora vya ujenzi kwa bei nzuri?
Karibu VN Warehouse Limited, kampuni iliyosajiliwa kisheria inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa jumla na rejareja.
Tunatoa bidhaa zenye ubora wa uhakika kwa mafundi, wakandarasi, na wateja wa kawaida wanaojenga au kufanya ukarabati.
Bidhaa tunazouza ni pamoja na:
🔹 Vifaa vya Plumbing
🔹 Vifaa vya Electrical
🔹 Paints na vifaa vyake
🔹 Tools mbalimbali za ujenzi
🔹 Pipes & fittings
🔹 Screws, bolts na fasteners
🔹 Na vifaa vingine vingi vya hardware
Tunakaribisha wateja wa jumla na rejareja.
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi:
📞 0719 07 32 06
📞 0739 07 32 06
📧 [email protected]
Karibu VN Warehouse Limited kwa huduma bora na bidhaa zenye ubora.
Mkuu samahani nliingia,.afu nkatoka ndo nimeingia tena sahvIla Mleta Mada VN Warehouse Limited wewe ni Mjinga sana,
Nimeuliza maswali yanayohusu Biashara yako na umeyaona uka like kabisa. Ila kujibu hujajibu labda sababu ya Pozi tu au unajiona kama vile mimi ndio juhitaji hivyo inabidi nikubembeleze ili unijibu.
Huu ni ujinga na Upumbavu uliopitiliza. Na kama wewe sio mmiliki wa hiyo biashara bali muajiriwa bas unamkosea sana mwenye mali/duka.
Yapfix decor ipo bei ni 22500Mna YapFix Decor? If yes bei gani?
Mna Cement? If yes bei gani?
Mnafanya Free Delivery? If yes kuanzia mzigo wa bei gani jumla?
Mna Mbao, Nondo, Mabati?
Asante mkuu, na update taarifa sahvHujataja location ilipo ofisi yako. taja sehemu either ofisi yenu ipo mkoa gani, wilaya gani tangazo lipo too generala
Bei nimeuliza kwenye kila kitu, na delivery pia ila umenijibu kwenye Yapfix Decor peke yake. Au mkuu hii ni biashara ya part-time labda hako more concentrated huku??Yapfix decor ipo bei ni 22500
Cement,nondo,mabati, mbao vyote vipo
Karibu sana