VN Warehouse Limited
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 1,139
- 1,156
- Thread starter
- #101
Mkuu vitu kamaBei nimeuliza kwenye kila kitu, na delivery pia ila umenijibu kwenye Yapfix Decor peke yake. Au mkuu hii ni biashara ya part-time labda hako more concentrated huku??
Cement
Nondo
Mbao
Mabati,
Ili nikupe bei lazima uwe specific, mfano cement kuna grade mbili 32 & 42
Nondo kuna size nyingi kuanzia 6mm na kuendelea
Mbao hivo hivo zina sizes tofauti na pia aina tofauti either soft wood au hardwood
Mabati pia yapo ya aina tofauti tofaut na yana gauges tofauti tofauti
So kwa kifupi ni ngumu kukujibu coz maswali yako yako too general
Nafkiri kama maelezo ya kina ncheki whatsapp
+255719073206