mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Demu wangu mfiipa aisee hapana kwa kweli ni Mbovu hatari plus Wanyaturu sikuwa najua unaweza kudhani ni MgonjwaKwenye mapambano yangu na maisha yangu nimefanya kazi na jamii na watu tofauti tofauti yaani watanzania na watu wa nje .
Observation yangu ni hii warundi ni wachapakazi sana hujutii japo sio wote, wamalawi wa hovyo sana wanaminia pombe na ngono SI kiume Wala kike,
Watanzania niliofanya nao KAZI na regret hawa 1. Mfipa sijui kawaje ni mvivu TU na malalamiko 2. Watu wa siginda Hawa wanamini starehe kuliko kazi 3. Wanyakyusa na wahaya Hawa wao ni lawama na ujuaji ,
Watanzania poa kabisa 1. Mkinga unampenda unanza Naye mradi , hadi mradi unakua inafika muda unaona acha umshike mkono Naye akapambAne mbele , na huko anakukumbuka 2. Mbena na mhehe ni wachapakazi na wavumilivu ila ila usimfanyie ubaya hawasahau 3. Msukuma wengi wanageuka familia 4.kuna kabila lipo mbeya ileje hawa wanapiga mzigo ila hawakaliki
So kama unatafta kijana tafta wa Kirundi
Hahaha tena?Warundi wanapga kazi ila na wao sio poa,kitendo cha kukusanyana wakakuteka na kukupora mali kwao kawaida tu
Mkuu nipe kazi niingie mzigoniKwenye mapambano yangu na maisha yangu nimefanya kazi na jamii na watu tofauti tofauti yaani watanzania na watu wa nje .
Observation yangu ni hii warundi ni wachapakazi sana hujutii japo sio wote, wamalawi wa hovyo sana wanaminia pombe na ngono SI kiume Wala kike,
Watanzania niliofanya nao KAZI na regret hawa 1. Mfipa sijui kawaje ni mvivu TU na malalamiko 2. Watu wa siginda Hawa wanamini starehe kuliko kazi 3. Wanyakyusa na wahaya Hawa wao ni lawama na ujuaji ,
Watanzania poa kabisa 1. Mkinga unampenda unanza Naye mradi , hadi mradi unakua inafika muda unaona acha umshike mkono Naye akapambAne mbele , na huko anakukumbuka 2. Mbena na mhehe ni wachapakazi na wavumilivu ila ila usimfanyie ubaya hawasahau 3. Msukuma wengi wanageuka familia 4.kuna kabila lipo mbeya ileje hawa wanapiga mzigo ila hawakaliki
So kama unatafta kijana tafta wa Kirundi
What if tatizo lilikuwa ni wewe? Unaweza kuwa wewe ulitarajia akufurahishe Tu upande mmoja mwisho kama hatimizi matakwa yako unaona kama ni mbishiTatizo la Warundi ni ubishi. Nilioa Mrundi akanishinda tabia nikamuacha
Aiseee nilishangaa sanaaa mrundi aliona magorofa zenji akasema yale majumba si yataanguka yale
Dah nikasema kweli warundi ushamba wao umezidi
Ni halali kabisa! Wewe rafiki umeshaizoea ile mama yoyoo yako iliyopo kule nyumbani Longido!Tatizo la Warundi ni ubishi. Nilioa Mrundi akanishinda tabia nikamuacha
Ukitaka mke mzee oa mkongomani yule kiswahili inamsumbua , yaani wapo loyal na very very submissive, Mimi baada ya kutafakari kwa kinA naomba ebola iishe nikajibebe tu mkongomani wangu yule, pia wengi wapo decent sana na mwanamke wa kikongo ndiyo anarisha familia, never ever usioe mzambia na malaw Hawa huwa hawakatai mwanaumeTatizo la Warundi ni ubishi. Nilioa Mrundi akanishinda tabia nikamuacha
Ukitaka mke mzee oa mkongomani yule kiswahili inamsumbua , yaani wapo loyal na very very submissive, Mimi baada ya kutafakari kwa kinA naomba ebola iishe nikajibebe tu mkongomani wangu yule, pia wengi wapo decent sana na mwanamke wa kikongo ndiyo anarisha familia, never ever usioe mzambia na malaw Hawa huwa hawakatai mwanaume
Mkuu kumbe Wazambia sio?Ukitaka mke mzee oa mkongomani yule kiswahili inamsumbua , yaani wapo loyal na very very submissive, Mimi baada ya kutafakari kwa kinA naomba ebola iishe nikajibebe tu mkongomani wangu yule, pia wengi wapo decent sana na mwanamke wa kikongo ndiyo anarisha familia, never ever usioe mzambia na malaw Hawa huwa hawakatai mwanaume
mkuu huo ndo uhalisia,watu wanaotoka nchi zenye vita wana roho ngumuHahaha tena?
Saying no kwa mzambia ni kama kutangaza vita , mzed yeye anatoa tu uchi wake , ila wengi ni church mongersMkuu kumbe Wazambia sio?
Pamoja mkuu nilikuwa nataka kuanza safari na Mzambia mmoja itaniongezea umakini.Saying no kwa mzambia ni kama kutangaza vita , mzed yeye anatoa tu uchi wake , ila wengi ni church mongers