Unatafuta wasaidizi wa Kazi, jitahidi upate mrundi at your own risk

Ukitaka mke mzee oa mkongomani yule kiswahili inamsumbua , yaani wapo loyal na very very submissive, Mimi baada ya kutafakari kwa kinA naomba ebola iishe nikajibebe tu mkongomani wangu yule, pia wengi wapo decent sana na mwanamke wa kikongo ndiyo anarisha familia, never ever usioe mzambia na malaw Hawa huwa hawakatai mwanaume
Hasa maeneo gani huko drc?
 
By the way mada yako ni ipi?
Warundi ni wenzetu wale na hata wanyaru ingawa hawana abari na sisi.
Hivyo vinchi vilikua vimkoa kwetu kabla ya mjerumani kufanya mambo yake.
Mrundi-mwenzetu
Rwanda--wenzetu
Congo RDC -tupo nao hapo wanaimba bolingo.
Si tunapambania nchi yao.
WaSouth wapo wengi tu leo wanafukuza watz huko kwao ambapo tumewapa sisi wenyewe.
Ndo hapa huwa hamumuelewi Nyererere Mwl.
Tenda Wema uende zako.
 
Kwenye mapambano yangu na maisha yangu nimefanya kazi na jamii na watu tofauti tofauti yaani watanzania na watu wa nje .

Observation yangu ni hii warundi ni wachapakazi sana hujutii japo sio wote, wamalawi wa hovyo sana wanaminia pombe na ngono SI kiume Wala kike,

Watanzania niliofanya nao KAZI na regret hawa 1. Mfipa sijui kawaje ni mvivu TU na malalamiko 2. Watu wa siginda Hawa wanamini starehe kuliko kazi 3. Wanyakyusa na wahaya Hawa wao ni lawama na ujuaji ,
Watanzania poa kabisa 1.

Mkinga unampenda unanza Naye mradi , hadi mradi unakua inafika muda unaona acha umshike mkono Naye akapambAne mbele , na huko anakukumbuka 2. Mbena na mhehe ni wachapakazi na wavumilivu ila ila usimfanyie ubaya hawasahau 3. Msukuma wengi wanageuka familia 4.kuna kabila lipo mbeya ileje hawa wanapiga mzigo ila hawakaliki

So kama unatafta kijana tafta wa Kirundi
Kuna mwaka nililima huko Singida vijijin vibarua ilikuwa tabu kuwapata vijana wenyeji wavivu kupindukia. Mpaka utafute wasukuma kutoka mbali unawaandalia mahali pa kulala na chakula
 
Kwenye mapambano yangu na maisha yangu nimefanya kazi na jamii na watu tofauti tofauti yaani watanzania na watu wa nje .

Observation yangu ni hii warundi ni wachapakazi sana hujutii japo sio wote, wamalawi wa hovyo sana wanaminia pombe na ngono SI kiume Wala kike,

Watanzania niliofanya nao KAZI na regret hawa 1. Mfipa sijui kawaje ni mvivu TU na malalamiko 2. Watu wa siginda Hawa wanamini starehe kuliko kazi 3. Wanyakyusa na wahaya Hawa wao ni lawama na ujuaji ,
Watanzania poa kabisa 1.

Mkinga unampenda unanza Naye mradi , hadi mradi unakua inafika muda unaona acha umshike mkono Naye akapambAne mbele , na huko anakukumbuka 2. Mbena na mhehe ni wachapakazi na wavumilivu ila ila usimfanyie ubaya hawasahau 3. Msukuma wengi wanageuka familia 4.kuna kabila lipo mbeya ileje hawa wanapiga mzigo ila hawakaliki

So kama unatafta kijana tafta wa Kirundi
Mimi hupendelea wazungu, ni wakweli ila unamlipa kwa saa au kwa wiki, ni wakweli, wanazingatia muda na si wadokozi.
 
Back
Top Bottom