mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
- Thread starter
-
- #21
Sio wote mzee , ni kama vile tunaposema watu wa kusini lindi,mtwara na songea ni rahisi kupata papuchi haimanishi wote au tunaposema mhaya Malaya so kilA mhaya anazitesa nyeti zakePamoja mkuu nilikuwa nataka kuanza safari na Mzambia mmoja itaniongezea umakini.
Of course nimekuelewa mkuu ndiyo maana nimesema itaniongezea umakini simuachi .Sio wote mzee , ni kama vile tunaposema watu wa kusini lindi,mtwara na songea ni rahisi kupata papuchi haimanishi wote au tunaposema mhaya Malaya so kilA mhaya anazitesa nyeti zake
Hasa maeneo gani huko drc?Ukitaka mke mzee oa mkongomani yule kiswahili inamsumbua , yaani wapo loyal na very very submissive, Mimi baada ya kutafakari kwa kinA naomba ebola iishe nikajibebe tu mkongomani wangu yule, pia wengi wapo decent sana na mwanamke wa kikongo ndiyo anarisha familia, never ever usioe mzambia na malaw Hawa huwa hawakatai mwanaume
RWanda congo na burundi hizi nchi uchawi na kutoana roho no vitu vyepesi sana kwao yani haviwaumi kabisa hatar sana hawa watu.Warundi wanapga kazi ila na wao sio poa,kitendo cha kukusanyana wakakuteka na kukupora mali kwao kawaida tu
Aisee nilikua na mwanamke wa kufiipa alitaka kuniua alafu mambo yagu yakawa hayaendi kabisaDemu wangu mfiipa aisee hapana kwa kweli ni Mbovu hatari plus Wanyaturu sikuwa najua unaweza kudhani ni Mgonjwa
Wazambia ogopa ukitaka amani ya moyo alafu Zambia in nature mwanamke Ana nguvu kuliko mwanaume hivo hawezi kuheshimuMkuu kumbe Wazambia sio?
Shida ilikuwa niniAisee nilikua na mwanamke wa kufiipa alitaka kuniua alafu mambo yagu yakawa hayaendi kabisa
Aisee kumbe noma shukrani sana Mkuu.Wazambia ogopa ukitaka amani ya moyo alafu Zambia in nature mwanamke Ana nguvu kuliko mwanaume hivo hawezi kuheshimu
Kuna mwaka nililima huko Singida vijijin vibarua ilikuwa tabu kuwapata vijana wenyeji wavivu kupindukia. Mpaka utafute wasukuma kutoka mbali unawaandalia mahali pa kulala na chakulaKwenye mapambano yangu na maisha yangu nimefanya kazi na jamii na watu tofauti tofauti yaani watanzania na watu wa nje .
Observation yangu ni hii warundi ni wachapakazi sana hujutii japo sio wote, wamalawi wa hovyo sana wanaminia pombe na ngono SI kiume Wala kike,
Watanzania niliofanya nao KAZI na regret hawa 1. Mfipa sijui kawaje ni mvivu TU na malalamiko 2. Watu wa siginda Hawa wanamini starehe kuliko kazi 3. Wanyakyusa na wahaya Hawa wao ni lawama na ujuaji ,
Watanzania poa kabisa 1.
Mkinga unampenda unanza Naye mradi , hadi mradi unakua inafika muda unaona acha umshike mkono Naye akapambAne mbele , na huko anakukumbuka 2. Mbena na mhehe ni wachapakazi na wavumilivu ila ila usimfanyie ubaya hawasahau 3. Msukuma wengi wanageuka familia 4.kuna kabila lipo mbeya ileje hawa wanapiga mzigo ila hawakaliki
So kama unatafta kijana tafta wa Kirundi
Mimi hupendelea wazungu, ni wakweli ila unamlipa kwa saa au kwa wiki, ni wakweli, wanazingatia muda na si wadokozi.Kwenye mapambano yangu na maisha yangu nimefanya kazi na jamii na watu tofauti tofauti yaani watanzania na watu wa nje .