Unataka kudhibiti muda unaotumia kwenye simu Yako basi tembea bila chaji

Unataka kudhibiti muda unaotumia kwenye simu Yako basi tembea bila chaji

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Kama upo addicted na kutumia simu hii ndio easy way ya kukufanya kupunguza matumizi ya simu. Ukiwa na uhakika wa chaji na mb basi ndio utaona mtu muda wote simu ipo kiganjani.
 
Umeongea point mkuu, aisee chaji ukiwa umeiacha maisha yanakua magumu.
 
Niko addicted yes ila kwangu simu ndio mshikaji wangu natakiwa kuwa nae mda wote.
Siwezi acha chaja
 
Back
Top Bottom