BabaMorgan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 4,869 Reaction score 13,137 Dec 18, 2024 #1 Kama upo addicted na kutumia simu hii ndio easy way ya kukufanya kupunguza matumizi ya simu. Ukiwa na uhakika wa chaji na mb basi ndio utaona mtu muda wote simu ipo kiganjani.
Kama upo addicted na kutumia simu hii ndio easy way ya kukufanya kupunguza matumizi ya simu. Ukiwa na uhakika wa chaji na mb basi ndio utaona mtu muda wote simu ipo kiganjani.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 18, 2024 #2 Umeongea point mkuu, aisee chaji ukiwa umeiacha maisha yanakua magumu.
Mchimba Chumvi JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 2,244 Reaction score 5,500 Dec 18, 2024 #3 Niko addicted yes ila kwangu simu ndio mshikaji wangu natakiwa kuwa nae mda wote. Siwezi acha chaja