Unataka kufanana na wanachuo wa Tanzania

Unataka kufanana na wanachuo wa Tanzania

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
Je? hujawahi kufika darasani, au umeishia darasa la saba, form four au form six, lakini unataka kuonekana kama wewe umefika hadi chuo. unataka kuwa na maarifa mengi na akili iliyonyumbulika. hii thread inakuhusu. fanya yafuatayo.

(i)(educationi for liberation, education is key of life) watu wengi waliomaliza chuo wamesahau kuikumbuka hiyo misemo, hakikisha wewe elimu hiyo uliyoipata inakutengenezea binu ya kujikwamua kimaisha, hata kama ni kwa kulima.

Fanya kuchakalika hata miaka miwili ukilima ukitafuta kiazio cha kufungua miradi endelevu ili uweze kijikwamua kimaisha au unaweza ukatafuta mbinu yeyote itakayo kupatia hela za kuendeshea miradi endelevu.

(ii)hakikisha unafanya biashara za kusafiri sehemu mbalimbali nchini na hata nje ya nchi kama inawezekana, hii itakusaidia kujua maeneo mbalimbali kujifunza tabia za watu tofouti, fanya hivyo hata miaka miwili kama inawezekana.

(iii)jitahidi sana kujifunza na kusoma english course, hii itakufanya kufanana kabisa na wasomi wa Tanzania.

Next page two.
 
(iv)Hakikisha unakuwa mfatiliaji na msikilizaji wa habari mbalimbali kwenye vyazo vyote vya habari, kama tv, radio, social network, magezeti n.k

(v)hakikisha unakuwa na tabia ya kuhudhuria kwenye mikutano mbalimbali ya watu pamoja na makongamano.

(vi)kuwa na utaratibu wa kuangalia na kusikiliza bunge, hili litakusaidia kujua ni namna ngani nchi inavyokwenda.

(vii)ukipata mda kuwa na tabia ya kusoma vitabu mbali mbali,, hii itakusaidia kujua mambo mengi sana.

(viii)jifunze kuwa msafi na uvaaji wa heshima.

asanten sana.
 
Na mtu akitaka kuwa daktari anafanyaje vile?

Daktari? gan unayeogerea wewe, kwani hapa tz hutana madaktari ambao hawajifika hata darasa la kwanza, lakn kila siku wanasaidia na kutibu watu!!!
kuna wanavyou wagapi? ambao siyo madaktari?

elimu ni zaidi ya ujuavyo.
 
Shy land una vituko, lakini kuna cha kujifunza kwenye ujumbe wako.
 
Naongelea madaktari wa upasuaji,meno,masikio,wanawake,na wengine wengi waliopita chuo miaka 5.

ENDELEA KUAMIN UNACHO AMINI,NI HAKI YAKO.
 
Naongelea madaktari wa upasuaji,meno,masikio,wanawake,na wengine wengi waliopita chuo miaka 5.

ENDELEA KUAMIN UNACHO AMINI,NI HAKI YAKO.

Kwa hiyo wewe kwa elimu yako ndogo unafikiri elimu ni udaktari tu, basi au wote walifika vyuo ni madaktari

kwa taarifa yako tu. kuna watu wamefika chuo na wakawa wakulima wazuri sana, wengine walevi n.k

nimekuambia "elimu ni zaida ya ujuavyo"
 
Shy land una vituko, lakini kuna cha kujifunza kwenye ujumbe wako.

Ni wapi? na sehemu gan? inapoonyesha kuna vituko, acha kupotosha watu bhana.

kama wewe ni mwana chuo, chukua hili fundisho umepelekee hata ndgu yako ambaye hajapa bahati ya kufika chuo,

siyo kukaa na kubwajabwaja na kusema Shy land ana vituko!!!
 
Last edited by a moderator:
Shy land bwana! Mi siku hizi sitaki ugomvi naye kabisa, napita nikipiga mluzi tu na kucheka kimya kimya kama Pinda alivyotangaza nia!
 
Je? hujawahi kufika darasani, au umeishia darasa la saba, form four au form six, lakini unataka kuonekana kama wewe umefika hadi chuo. unataka kuwa na maarifa mengi na akili iliyonyumbulika. hii thread inakuhusu. fanya yafuatayo.

(i)(educationi for liberation, education is key of life) watu wengi waliomaliza chuo wamesahau kuikumbuka hiyo misemo, hakikisha wewe elimu hiyo uliyoipata inakutengenezea binu ya kujikwamua kimaisha, hata kama ni kwa kulima.

fanya kuchakalika hata miaka miwili ukilima ukitafuta kiazio cha kufungua miradi endelevu ili uweze kijikwamua kimaisha au unaweza ukatafuta binu yeyote itakayo kupatia hela za kuendeshea miradi endelevu.

(ii)hakikisha unafanya biashara za kusafiri sehemu mbalimbali nchini na hata nje ya nchi kama inawezekana, hii itakusaidia kujua maeneo mbalimbali kujifunza tabia za watu tofouti, fanya hivyo hata miaka miwili kama inawezekana.

(iii)jitahidi sana kujifunza na kusoma english course, hii itakufanya kufanana kabisa na wasomi wa tanzania.

next page two

mbona wasomi wengi wa tanzania hawajui kiingereza?!
 
Kwa hiyo wewe kwa elimu yako ndogo unafikiri elimu ni udaktari tu, basi au wote walifika vyuo ni madaktari

kwa taarifa yako tu. kuna watu wamefika chuo na wakawa wakulima wazuri sana, wengine walevi n.k

nimekuambia "elimu ni zaida ya ujuavyo"

Madaktari niliwatolea mfano tu;kama nao wanaweza fika form 4,waka safiri safiri hivi,wakaenda english course,basi wakawa na uwezo wa kutibu!

WATU ULIOWAONGELEA KTK MADA YAKO NI MADALALI PEKEE
 
Mkuu Shy land karibu utaeleweka tu. Endelea kuleta maarifa.
 
Last edited by a moderator:
Shy land bwana! Mi siku hizi sitaki ugomvi naye kabisa, napita nikipiga mluzi tu na kucheka kimya kimya kama Pinda alivyotangaza nia!

Haya bhana Utotole nakusoma sana kaka!
 
Last edited by a moderator:
Ivi wewe, pilika zote hizo ili uonekane tu umefika chuo? Alafu?

Kumbuka pilika zote hizo unazozifanya ni kwa ajili ya kuendesha miradi yako na kuongeza uwingo wa biashara zako!!

kwa mfano kwenye kusafiri, unaweza ukawa mkazi wa dar es salaam, ukawa unafauta nafaka shinyanga, hafu wakati unakuja unaleta bidhaa ambazo unaona ni adimu kupatika shinyanga,

si hapo utakuwa umejifunza huku unafanya biashara kumbuka usafiri wako ni treni.

english course, unaweza ukateua mwaka mmoja tu, ukatumia miezi minne kujifunza,

kusikiliza habr na bunge kweli huo mda utakosa!
 
Back
Top Bottom