Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uniangalizie faraja mpendasali, na fariji mpendasali
Natanguliza shukran kwako
We umefeki haupo...rudi kalime huwezi mambo ya utabibu
sijamuona
Husna mohammed chaola
Nuru sudi nobeye
laurent ezekia mwalivale clinical officer
Naomba niangalizien Benezeth James Onyango nimeomba certificate in laboratory
Ni ngazi ya certificate
Ivi na nursing wametoa?
kama unataka kusaidiwa kuangaliziwa jina lako kwenye list ya waliochaguliwa na wizara ya afya,tupia jina lako hapa
Jamani nimeona list ya reserve wana maanisha nini?
kama unataka kusaidiwa kuangaliziwa jina lako kwenye list ya waliochaguliwa na wizara ya afya,tupia jina lako hapa