Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

Naomba niangalizien Benezeth James Onyango nimeomba certificate in laboratory
 
Jamani wapendwa list ya reserve wana maanisha nini...?
 
kama unataka kusaidiwa kuangaliziwa jina lako kwenye list ya waliochaguliwa na wizara ya afya,tupia jina lako hapa

Sijui nishachelewa...Niangalizie Juma Aziz Seif tafadhali, certificate in laboratory techncian
 
Back
Top Bottom