Kula hiki kitabu, Kitakufundisha jinsi ya kuishi na kuendana na watu wenye personality ngumu, Watu wasiopatana na watu, watu wakorofi,
Watu hawa unakuta hatuwezi kuwaepuka kwan mara nyingi unaweza kuta ni mkeo, mmeo, mzazi wako, ndugu yako wa karibu, boss wako, mtoto wako,mwalimu wako,wateja, au supervisor
Njoa pekee ni kupata maarifa jinsi ya kuendana na watu wa hivi na kujitahidi kuwapenda ili kutoharibu kazi, kutoharibu biashara,kutoharibu shule au career, kutoharibu familia, nk
Hiki kitabu kinauzwa leo nitawapea bure!!.Sharti Ni PM ukiwa na email yako nakutumia. Email kwakua n rahisi kutuma kwa watu wengi zaidi
View attachment 3085775