Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

Ah wee, ngoja siku moja utanielewa it seems u have long way to go
Wewe hunijui wala sikujui, kila mtu ana taratibu na kanuni zake za maisha. Hakuna siku wote tutapitia ulichokipitia wewe
 
Uongo 🀣🀣🀣
Kama huamini, nipe mie tuwe wapenzi, halafu kampe mwingine tegeaha nikufumanie, ndio utaelewa nisemacho, wengine nyie bila mifano hamuelewi, πŸ˜‚πŸ€£
 
Kama huamini, nipe mie tuwe wapenzi, halafu kampe mwingine tegeaha nikufumanie, ndio utaelewa nisemacho, wengine nyie bila mifano hamuelewi, πŸ˜‚πŸ€£
Cha kukupa sina, ila hizo kauli za kusema ukimfumania mkeo hujali ni uongo.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…