Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

Safi, mimi nipo tayar tuwekeane hata pesa au tukutane mtu 3 mimi..wewe na mtu mwingine mimi nikanunue hiyo nayosema.
Kwa kuongezea tu kuwepo kwako kwenye field hakukupi kuzijua medics zote
Ok sawa haina Tatzo ila Jitahidi usizitumie whatever the Trade name is..

The Drug name is Called Sildenafil citrate..
Unaweza ukabadili jina uwezavyo ita Viagra, Ita vega ita enjoy ita vyovyote ila hiyo ndo chemical iliyopo kwenye hiyo Dawa..
 
Safi, mimi nipo tayar tuwekeane hata pesa au tukutane mtu 3 mimi..wewe na mtu mwingine mimi nikanunue hiyo nayosema.
Kwa kuongezea tu kuwepo kwako kwenye field hakukupi kuzijua medics zote
Kama unayo tuma hapa hata Box lake tu..
Maana kukutana ni vigumu sana..
 
Wewe
Ok sawa haina Tatzo ila Jitahidi usizitumie whatever the Trade name is..

The Drug name is Called Sildenafil citrate..
Unaweza ukabadili jina uwezavyo ita Viagra, Ita vega ita enjoy ita vyovyote ila hiyo ndo chemical iliyopo kwenye hiyo Dawa..
Unajaribu kutumia ki knowledge cha career yako kulazimisha yote yawe vile usemavyo, fine let's call them" Sildenafil citrate" which is right then go and ask for the name pills as you call it kama utapata hii nisemayo mimi
 
KWahiyo bila dawa hakuna kitu, so sad.
Mara nyingi wanaume wote wapo sawa na hakunaga tatizo la nguvu za kiume, labda kwa wale wachache ambao kweli kuna case flani zimewafanya kupata maladhi au vitu flani.
Tatizo ni mtindo mbovu wa kula na kichwani mtu anakaa kwa wasi wasi na kujihisi ana dosari at the result anashindwa ku perform vizuri.
Ila wengine wanatumia hiyo ku bust ili iwe full uhakika
 
Yes tatizo lishe.
Sasa mkishazoea hayo madawa mnaharibu figo zenu baadae dailysis itawahusu sana
 
Yes tatizo lishe.
Sasa mkishazoea hayo madawa mnaharibu figo zenu baadae dailysis itawahusu sana
Nikweli ndiomaana hata mimi nimeshauri mtu asipendelee kutumia akitumia atumia incase kuna umuhimu kweli kweli wa kuwakilisha taifa
 
Kwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani.

Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na kunyweshwa vitu vya ajabu ajabu na visivtokua na matokea mazuri mwisho wa siku unapoteza pesa na hata kupata fedheha huko ulikopania kuweka heshima.

Ngoja niseme ukweli na ufumbuzi.
Dawa ya kwanza inayoweza kukupa nguvu kama kidume kwanza hakikisha ubongo wako na akili yako ipo relaxed yani usiwazie sana tendo na kulikamia pia usiweke woga kwamba nitafanyaje au nutaweza kweli.
usichokijua kuhusu uume na ipo hivi, ubongo wa mwanadamu huchangia sana kufanya uume usimame kwasababu unapoona huu ni wakati wa tendo au huyu mtu yupo kwenye hali ya msisimko kingono ubongo hupeleka taarifa kwenye moyo ndipo moyo huanza ku pump damu kwa wingi na haraka kuruhusu ipelekwe kwa wingi kwenye mshipa wa uume.

Hiii sasa ndiomaana utaona mwanaume akiwa kadindisha mapigo yake ya moyo pia huwa yanabadilika ila hata dudu huwa inakua na joto zaidi ya mwanzo...kinadada wanafahamu ikiwa umewahi kuulizwa ilipoingia "mbona nanii yako ya moto sana"

Baada ya ubongo kua ni kila kitu...mengine yanayofata ni ziada hapo sasa ndio unakuta unywaji wa maji mengi kabla ya tendo ni njia bora ya maandalizi...na vingine vingi watu husema.

Je zipo Dawa za kuongeza au kumfanya Mwanaume awe strong zaidi kitandani ?

Jibu ni NDIYO
Ipo baadhi ya miziz na majani ambayo makabila ya zamani wazee wao walikua wakiwafundisha vijana wao na hata wanaume wa jamii hiyo kutumia na ikawa ni imara kabisa..kwasasa mpaka upate mtu sahihi mwenye kuujua kweli mti au mzizi huo vinginevyo utaibiwa.

Vipi kuhusu vumbi ka Kongo:- Binafsi sikushuri ujaribu wala kutumia kwasababu usichokijua kuhusu vumbi la kongo ile yenyewe achana na unga unga fake wanaopewa watu, vumbi la kongo linaweza badala ya kutatua tatizo ndio likazidisha hasaa yani hata uume kusimama usisimame kivipi?

Vumbi la kongo linafanya kichwa cha dudu kufa ganzi..hivyo utashiriki tendo musa wote ila husikii utamu zaidi ya kuona ukichomeka na kuchomoa kwa mwenzako pasipo hisia kimsingi unaweza kudumu ila usimlidhishe zaidi ya kumuumiza mwenzako maana atakua kama amebakwa tu hivyo hata wakat mwingine unaweza usipewe.

Pia kuna wenye shida za mishipa yao ya uume kuwa lege lege huyu sasa akipaka vumbi la kongo ndio anajiua kabisa maana dudu haitasimama kabisa why sababu atakua hahisi chochote uume umekufa ganzi..sasa ukichangia na ile mishipa haina nguvu na hapo hapo dudu ina ganzi basi utajikuta uume hauinuki na ukaumbuka zaidi.

Dawa za Pharmacy zipo?
Ndio, kuna baadhi ya Dawa za Pharmacy ambazo zinatambulika kimataifa kuwa na uwezo mzuri kusaidia ila si kutibu?a mara nyingi kwa tatizo la nguvu za kiume tiba ni nadra sana kwa dawa za Pharmacy ila ku boost ili ufanye kazi unapata.

Dawa maarufu Viagra hii tumeaNa kuisikia toka enzi huenda ni nzuri ila kasoro yake ukiisha itumia usipopata tendo inaweza kuwa hatar kwako maana uume utakua dede muda wote, pia ukizidisha kiwango sahihi madhara yake ni hatar sana na ni hapo hapo. Na ikiwa una maladhi ya kisukari..pressure na mengine yasiyofaa athari hake hata kupoteza maisha tumesikia watu wengi hasa wazee wanaotumia badae chumbani mambo hugeuka na kusikia vifo kadha wa kadha.

Dawa nayoifahamu
Kuna siku katika utafiti wangu nalikutana na mtu mmoja wa asili ya Asia katika kuongea alikua na packti flani akameza kidonge kimoja nilipodadisi akanambia masaa 2 hajayo atakutana na mpenzi wake flani wa asili ya kiafrika (mbongo) hivyo anajua hasa weusi huwa wanamanjonjo sana na wapo strong hivyo huwa anapenda kuji bust ili asiishie njian.

Nilikua suprised ila kwa utafiti zaidi nikaona hapana wacha nitest mitambo pia, nakili nilijaribu na masaa 2 baada ya kukitumia nilijisikia kawaida tu kwa maelekezo ya kidonge unaweza shiriki tenda ukimeza kidonge baada ya saa 1 au 2, lakini hata usiposhiriki haina madhara wala uume hausimami mpaka utakapokua sex stimulated.

Baada ya muda nakumbuka kesho yake nilikaa hotelini na mpendwa wangu kuanua asubuhi mpaka jioni ya saa 2 usiku, sikumbuki idadi ya Gori ila tulikua na kazi ya kula chakula..maongezi kidogo tendo..maongezi kidogo tendo kwa siku 2 mfululizo.

Japo maelekezo ya kitaalamu yanasema ile dawa hukaa kwa masaa 36 nadhani nikweli maana hata kesho yake ilikua nikitaka tendo bado ningeweza tena kama sikufanya kabisa.

Najua kuna baadhi watakao soma uzi huu huenda wakahisi natangaza kujipatia wateja au kutangaza soko, Ama pengine mwingine ataenda mbali zaidi na kusema natengeneza scenario ya kupiga watu pesa.

Sina nia hiyo ila nimejisikia tu kulizungumzia maana ni kitu nacjokifahamu na humu ni sehemu ya kuelezea idea mbali mbali.

Hivyo vidonge Pharmacy zote kubwa wanavyo vinakua vya 5g, 10g na 15g
Jina lake linaanzia na herufi " S " na kuishia na " L "
maduka mengi huuza Tsh elfu 8- 10,000/= kulingana na ulipo.
Iki uliwahi kuvisikia nikweli hivyo ni habari nyingine.

Vilitengenezwa maalumu kwa watu wenye shida ya hormone chache za sex au waliopoteza hisia.
Hakikisha huna magonjwa ya pressure wala kisukari.

Nini nilikielewa hiki..ukiisha kitumia hata mdada akila nauli yako hupati pressure ya mnara kushindwa kulala maana kwanza hautakua umeinuka mpaka tu pale uwe stimulated wakat wa maandalizi.

Ushauri: kunywa maji sana...kula vizuri..kuwa mind free ukiwa na miadi ya yendo usipanik wala kuwaza ntaweza au lah hakunaga upungufu wa nguvu za kiume.

Ila kwa special case wazee wa kuonesha umwamba, ama ndo penzi jipya kumkoleza shangazi haya mara moja moja mtishe kwa hiyo.

Sijaiweka public kulinda kutangaza biashara..pia kutoa taharuki nime share idea nikijuacho.
Ukinifata nikuelekeze jina lote au hata kukutafutie lazima nitakucharge pesa ya usumbufu hilo ujiandae hahah.
Kazi kwenu wakurungwa.
20240123_221306.jpg

SIKU MBILI MFULULIZO ... MAEEEE VIJANA MUTAKUFA MUMECHOKA SANA
 
Boss hii yako ndio naisikia leo
Dawa ni Saheal

Saheal ni Tadalafil kama ilivyo kwa Viagra, Erecto n.k hizi wanaita Sildenafil Citrate

Tadalafil (Saheal) na Sildenafil (Viagra) zote zinafanya kazi moja ila zinatofautiana kwenye mda wa kukaa mwilini.

Sildenafil Citrate zinakaa masaa 4 - 8 while izo Tadalafil (Saheal) zinakaa kwa mda wa masaa 24 - 36

Kwa anaetaka matokeo ya haraka atumie Sildenafil ila kwa asie na uhakika na mda wa tendo anashauriwa kutumia Tadalafil (Saheal). Kumbuka dawa zote hizi zinafanya kazi sawa, zinatofautiana tu kwenye mda wa kukaa mwilini. Hivyo alietumia Saheal na alietumia Viagra au Erecto wote wako sawa tu na wote wanaeza experience negative effects sawa.

Upande wa bei, Sildenafil (Viagra, Erecto, Njoi, n.k) hizi zinauzwa 2,000 mpaka 3,500 kwa kidonge

Tadalafil (Saheal, Adcirca, Cialis) bei ni 8,000 mpaka 10,000 kwa kidonge

Namiliki pharmacy hivyo hizo dawa nazijua vizuri maana ndizo zinazotoka sana dukani
 
Hakuna Dawa Katika kundi hilo yenye maandishi uliyotaja Am in Med.Field Mkuu..
Am not talking from layman POV

Sildenafil citrate ni VIAGRA jina tu ndiyo limebadilika pole sana mkuu umetumia viagra pole sana 😂😂😂

Delivery Unafanya?

How long will sildenafil last?

Sildenafil has a 4-hour 'half-life', meaning half of the drug has left the bloodstream after 4 hours. Some men may still be able to achieve a satisfactory erection after 10 hours, although the duration will become shorter. After 24 hours all traces of the drug in the bloodstream has practically gone.

Hapo uliposema saa 36 umetupiga na kitu kizito

kama kimoja hiyo NJOI, njoi kina kaa kimoja na chenyewe rang ya bluu mpauko,

Kama unayo tuma hapa hata Box lake tu..
Maana kukutana ni vigumu sana..
Dawa ni Saheal

Saheal ni Tadalafil kama ilivyo kwa Viagra, Erecto n.k hizi wanaita Sildenafil Citrate

Tadalafil (Saheal) na Sildenafil (Viagra) zote zinafanya kazi moja ila zinatofautiana kwenye mda wa kukaa mwilini.

Sildenafil Citrate zinakaa masaa 4 - 8 while izo Tadalafil (Saheal) zinakaa kwa mda wa masaa 24 - 36

Kwa anaetaka matokeo ya haraka atumie Sildenafil ila kwa asie na uhakika na mda wa tendo anashauriwa kutumia Tadalafil (Saheal). Kumbuka dawa zote hizi zinafanya kazi sawa, zinatofautiana tu kwenye mda wa kukaa mwilini. Hivyo alietumia Saheal na alietumia Viagra au Erecto wote wako sawa tu na wote wanaeza experience negative effects sawa.

Upande wa bei, Sildenafil (Viagra, Erecto, Njoi, n.k) hizi zinauzwa 2,000 mpaka 3,500 kwa kidonge

Tadalafil (Saheal, Adcirca, Cialis) bei ni 8,000 mpaka 10,000 kwa kidonge

Namiliki pharmacy hivyo hizo dawa nazijua vizuri maana ndizo zinazotoka sana dukani
 
Ok sawa haina Tatzo ila Jitahidi usizitumie whatever the Trade name is..

The Drug name is Called Sildenafil citrate..
Unaweza ukabadili jina uwezavyo ita Viagra, Ita vega ita enjoy ita vyovyote ila hiyo ndo chemical iliyopo kwenye hiyo Dawa..
mwamba ana vina saba vya geto kuishiwa unga na mkaa so anaona short of money
 
Dawa ni Saheal

Saheal ni Tadalafil kama ilivyo kwa Viagra, Erecto n.k hizi wanaita Sildenafil Citrate

Tadalafil (Saheal) na Sildenafil (Viagra) zote zinafanya kazi moja ila zinatofautiana kwenye mda wa kukaa mwilini.

Sildenafil Citrate zinakaa masaa 4 - 8 while izo Tadalafil (Saheal) zinakaa kwa mda wa masaa 24 - 36

Kwa anaetaka matokeo ya haraka atumie Sildenafil ila kwa asie na uhakika na mda wa tendo anashauriwa kutumia Tadalafil (Saheal). Kumbuka dawa zote hizi zinafanya kazi sawa, zinatofautiana tu kwenye mda wa kukaa mwilini. Hivyo alietumia Saheal na alietumia Viagra au Erecto wote wako sawa tu na wote wanaeza experience negative effects sawa.

Upande wa bei, Sildenafil (Viagra, Erecto, Njoi, n.k) hizi zinauzwa 2,000 mpaka 3,500 kwa kidonge

Tadalafil (Saheal, Adcirca, Cialis) bei ni 8,000 mpaka 10,000 kwa kidonge

Namiliki pharmacy hivyo hizo dawa nazijua vizuri maana ndizo zinazotoka sana dukani
Umemalza kila kitu bro. Erecto 50 na 100 ndio pekee nilikuwa nazijua
 
Na wenye tatizo kubwa zaidi wanashauriwa kutumia Tadalafil kidonge kimoja kwa siku
 
Usishindane na kitu kila mwezi kinatoa damu, piga mzigo utakapoishia vaa suruali haraka kaendelee na majukumu ya kujenga taifa.Kila mbuzi itakula kwa urefu wa kamba yake, usi force.

Hizo dawa zina boost blood pressure utakufa siku si zako.
Fact
 
Back
Top Bottom