Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

MKuu tadalafil na sildenafil zote zipo kundi moja la dawa..
Mfano mtu akaenda Pharmacy anatafuta dawa hiyo nisemayo.
Swali akisema nipe tadalafil au sildenafil ataipata au atakua bado hajasema exactly atakacho?
Wewe unaongea kama white box, mimi nazungumzia mtu alie black box
 
Bado sijaona mantiki ya andiko hili ikiwa dawa hiyo haijatajwa.
 
Ngono, mpira, dini/Imani, ukanda, mpira, kubet,
Mambo yaliyowajaa vijana wa ki bongo vichwani,
Hv vijana wa Taiwan, Korea, china, huwaza, kama sisi?
Juzi, nilikuwa, napiga story na Dada mmoja kutoka USA, amekuja kufanya, kazi, British Council, alianza kazi akiwa na 13yrs! Akadunduliza maokoto, alipofika 18yrs! Akanunua gari yake ya kwanza!
Fikiria mtoto wa 13yrs, anawaza kuweka mipango, ya, kazi,huku kwetu,miaka 18,bado anadeka hm, hata boksa ananunuliwa!
Kwa, kutumia, mitandao ya kijamii, unaweza kuona wenzetu vitu wanavyofanya, sasa nyie wabongo hamuoni aibu wala kujisikia vibaya, ukiona wenzetu wanatengeneza bidhaa za tekinolojia, Facebook, Instagram, TikTok, drones, robotics, lakini sie ni twerking tu, kukata mauno,motivation clips, ili kupata views tu,
 
Kaka kwanza bravo kwa uandishi wako wa kisomi zaidi. Uzi umeambatana na elimu ndani yake. Zaidi sana upo Honesty kiasi unaweza mfanya mdau yeyote kushawishika kutest na asihi hatia😂😅😂.
 
Nasikia huwa mnakuwaga na shoo mbovu sana siku mkipewa bila kujibust hayo madawa, yamewalemaza
 
Tukikutana;
1. Nusu saa ni stories na kunywa/kula.
2. Nusu saa ni foreplay na romance.
3. Dakika tano tako tano na kushusha wazungu.
4. Dakika kumi za kujifaragua tumbo mara kichwa mara nini.
5. Dakika kumi za kuoga na kusepa.
 
Tukikutana;
1. Nusu saa ni stories na kunywa/kula.
2. Nusu saa ni foreplay na romance.
3. Dakika tano tako tano na kushusha wazungu.
4. Dakika kumi za kujifaragua tumbo mara kichwa mara nini.
5. Dakika kumi za kuoga na kusepa.
Naaam,

Kila MTU ashinde mechi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…