Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

I have nothing to lose...nothing to gain as well so lets forget it
Unataka kulisha watu madawa wanayouza kwenye network marketing. Maana hamkawii nyie wapuuzi. Ndiyo mnavyoanza unaweza kuta unataka wauzia watu Gingseng zako za Bf Suma.
 
Hata usipotaja uzuri mimi ni mdadisi wa vitu vingi. Hio dawa ni "SILDENAFIL" ni kama viagra tu ilioko re branded na inauzwa hivyo Marekani na sehemu zingine za dunia. Heri mkongo kuliko hio midawa ya pressure
 
Sasa mzee Kwan unauza ngada au?
Biashara ni matangazo na tangazo halikamiliki bila kuweka mawasiliano.

Hayo mambo ya kufuatana vifichoni ndio watu wanakuona tapeli.

Wewe weka gamba hapa, bei na mawasiliano.
Kwanza hata kuelezea haya nimeanza kufeel guilty maana ni kama nimewapa mbinu vijana kusaka mbususu na kuzisimamia
Its like nime promote
 
Siku mbili mfululizo na mwanamke huyohuyo au utakuwa unabadilisha badilisha
Halafu end result ni nini mkuu?
Hiyo siku mbili haimaanishi mmegandana tuu jasho zinawatoka mmelaliana muda wote 48hrs mostly like ngumi za ulingoni kuna round 1..2..3..... na kati kati muda wa mapumzika wanakunywa maji na kukandwa right?
 
Utaua watu kwa maelezo yako ya copy and paste shauri yako.
 
Inaweza kuwa na majina tofauti but generic name yake ni hiyo hiyo ya sildenafil citrate. Acha janja janja
Utakua mtu wa ajabu sana uulizwe timu ya Taifa inaundwa na watu gani ukasema Homo Sapiens. Badala ya kutaja Samata na wengineo.
Hata ukienda duka la ngua husemi bataka suruali tu una sema nataka jeans...kadeti..kitambaa..za mazoez ivyo yani unapewa ulichokusudia
 
Namuonaga mwanangu mmoja anavohangaika mara na Asali sijui kutoka wapi ananiambia hiyo ni maalum kwa ajili ya kula mzigo tu unalamba kidogo tu, mara power boost sijui unakunywaje basi huwa namuangaliaaaaa najisemea tu hiiiiiiii!

Wewe unataka ukamridhishe mtu kichwani anadaiwa rejesho la Brac, ana Asa, alhamis kikoba alishakopa anachechemea kurudisha pesa za wana kikundi, hapo anataka akasuke na pesa hana, anataka abadili kucha, bado ana shughuli 3 anazotakiwa kwenda kutunza.


Oyaa, ukipata nyuchi jitombee maliza vaa sepa.
 
Hahaha..na ukitaka kuacha alama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…