Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Siku 2 mfululizo unataka kugundua nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK.then leta dawa tuone JinaWewe
Unajaribu kutumia ki knowledge cha career yako kulazimisha yote yawe vile usemavyo, fine let's call them" Sildenafil citrate" which is right then go and ask for the name pills as you call it kama utapata hii nisemayo mimi
🤣🤣🤣🤣Ufe na pressure kisa pv$$y, huo ni upuuzi, siku mbili mfululizo kichwa kinawaza mzigo tu??!! inaonekana uko idle sana.
Safi wewe ndo umejibu kisomi Na info yako yote iko sahihi..Dawa ni Saheal
Saheal ni Tadalafil kama ilivyo kwa Viagra, Erecto n.k hizi wanaita Sildenafil Citrate
Tadalafil (Saheal) na Sildenafil (Viagra) zote zinafanya kazi moja ila zinatofautiana kwenye mda wa kukaa mwilini.
Sildenafil Citrate zinakaa masaa 4 - 8 while izo Tadalafil (Saheal) zinakaa kwa mda wa masaa 24 - 36
Kwa anaetaka matokeo ya haraka atumie Sildenafil ila kwa asie na uhakika na mda wa tendo anashauriwa kutumia Tadalafil (Saheal). Kumbuka dawa zote hizi zinafanya kazi sawa, zinatofautiana tu kwenye mda wa kukaa mwilini. Hivyo alietumia Saheal na alietumia Viagra au Erecto wote wako sawa tu na wote wanaeza experience negative effects sawa.
Upande wa bei, Sildenafil (Viagra, Erecto, Njoi, n.k) hizi zinauzwa 2,000 mpaka 3,500 kwa kidonge
Tadalafil (Saheal, Adcirca, Cialis) bei ni 8,000 mpaka 10,000 kwa kidonge
Namiliki pharmacy hivyo hizo dawa nazijua vizuri maana ndizo zinazotoka sana dukani
Yote hiyo waikomoe keiSiku mbili mfululizo na mwanamke huyohuyo au utakuwa unabadilisha badilisha
Halafu end result ni nini mkuu?
Subutu ukienda kuinawa na maji baridi tu inarudi piruuuYote hiyo waikomoe kei
Watakupigia wife wenye shughuli yao 🤣🤣Vijana mnajimaliza.. Mie mwenzenu nachomeka napiga tako 3 nakojoa, na naishi vizuri tu, sijaona mguu kupungua wala kichwa kunyonyoka nywele. 🤣😂
Kama huna nguvu huna tu, memgine mnajitafutia vifo vya aibu. 🤣
Hawajui hilo 🤣🤣🤣Subutu ukienda kuinawa na maji baridi tu inarudi piruuu
Ewaaaa kitu bamia,mix tangawizi ukinywa tu mambo motoooHawajui hilo 🤣🤣🤣
Tena ukinawia na karafuu ndo kabisa na jotroo linaongezeka zaidi 🤸
Kitendo cha kutafuta dawa tu kinaonyesha kuwa mtu ana kasoro. Hivi dawa zinatumiwa na watu wenye afya njema? Halfu nikuambie: Mwanamke ili akukubali na kukupenda kwenye kufanya sex siyo muda unaotumia. Ni namna unavyom-handle. ´Lisaa limoja linaweza kumfanya mwanamke akupe ubingwa kwenye sex.Mbona kawaida sana mara moja kwa mwez kupata week ya mapumziko au vacation
Kuna mdada mumewe alikuwa anatumia vumbi, sasa mdada akaleta kesi kijiwe nongwa….. makungwi wakampa na yeye ya kumkomesha wakampa vumbi la kike..!!!Ewaaaa kitu bamia,mix tangawizi ukinywa tu mambo motooo
😂🤣🤣Shauri yao, akitombwa si katombwa yeye, kwani nimetombwa mimi 😂.Watakupigia wife wenye shughuli yao 🤣🤣
Maneno ya mkosaji hayo 🤣🤣🤣😂🤣🤣Shauri yao, akitombwa si katombwa yeye, kwani nimetombwa mimi 😂.
Hahah..kwani wewe si ndio msomi uliesema upo kwa field hiyo muda, bado hujasemaSafi wewe ndo umejibu kisomi Na info yako yote iko sahihi..
"You are well informed"
Nimefurahi na Kiukweli kabisa Tadalafil ni best kuliko sildenafil..
👏👏👏👏👏
Wee ivi huwa ni ivyo eeSubutu ukienda kuinawa na maji baridi tu inarudi piruuu
Nyie acheni basiHawajui hilo 🤣🤣🤣
Tena ukinawia na karafuu ndo kabisa na jotroo linaongezeka zaidi 🤸