Unataka kuoa unakuta demu ana sifa nyingi nzuri lakini ni Kiholoholo. Hapo mimi siwezi kabisa

Unataka kuoa unakuta demu ana sifa nyingi nzuri lakini ni Kiholoholo. Hapo mimi siwezi kabisa

Mkuu we sailing on same boat.
Mi napenda demu mwenye makebo nikiwa najaza upepo huku nasikilizia milindimo ya kibo na mawenzi.
Siyo manzi umemuinamisha ukichapa kibao makebo unaishia kugugumia maumivu mwili mifupa tupu!

Hao viholoholo tulimuachia Hashim Lundenga aruke nao.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Demu kiholoholo ni demu kimbaumbau. Nimejarib mara kadhaa kula.... Huwa kwa kweli sivutiwi kabisa.

Napenda demu awe na makebo makubwa. Hapo sawa. Lakini akiwa kiholoholo.... Aaargh labda ELI COHEN na Intelligent businessman wanaweza elezea kwa uzoefu wao. Maana hawa jamaa wana exposure kubwa wamesafiri nchi mbalimbali na kula watoto wakali.
Pole sana mdogo wangu Mungu akupi vyote na asilimia kubwa hao unsowataka kichwani empty.
 
Back
Top Bottom