Unataka kuoa? Usitapeliwe, hii ndio kanuni rasmi ya kukokotoa mahari unayotakiwa kulipa

Unataka kuoa? Usitapeliwe, hii ndio kanuni rasmi ya kukokotoa mahari unayotakiwa kulipa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Screenshot_20220419-060404_WhatsAppBusiness.jpg
 
😂😂😂
Tatizo hapo itakuwa kupata idadi ya uhakika ya waliokula mzigo kabla ili kuwezesha hicho KiKOKOTOO kutenda kazi yake kwa haki😊

Labda wachina watuletee ki-mashine cha kupimo kama zile za kupima pressure, mapigo ya moyo, kisukari..😊
Wachina hawashindwi kazi aisee
 
Kuna haja ya kuwa na kipimo Cha kupima idadi ya wanaume ambao mwanamke kalala nao
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom