Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
πππ
Wachina hawashindwi kazi aiseeπππ
Tatizo hapo itakuwa kupata idadi ya uhakika ya waliokula mzigo kabla ili kuwezesha hicho KiKOKOTOO kutenda kazi yake kwa hakiπ
Labda wachina watuletee ki-mashine cha kupimo kama zile za kupima pressure, mapigo ya moyo, kisukari..π
ApiaTanzania kuna ujinga mwingi sana
Wanawake ambao mwanamke kalala nao? [emoji15][emoji15][emoji15]Kuna haja ya kuwa na kipimo Cha kupima idadi ya wanawake ambao mwanamke kalala nao
MchanganyoWanawake ambao mwanamke kalala nao? [emoji15][emoji15][emoji15]