Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Mambo soksiHapo vaa mpira kwa wivu mkubwa bwashee
Pamoto sana hapo bwashee, tatoo lazima kuna majamAa fuso nzimaMambo soksi
Sitakiπ€£Safari njema, nakukabidhi kwa braza mshanaπ
Vinini hivyo? πΉJiongeze ankal View attachment 3650334
Hapa ukiitwa lazima uende hata ikiwa usiku wa majambaziJiongeze ankal View attachment 3650334
Mpaka useme... hahahaHii lugha LasabaD mie nimeyaona leo!
Hayo ya kazi gani?Vibusta vya ulinzi shirikishiView attachment 3650340
Inasikitisha sanaπ.Mpaka useme... hahaha
Aanh we si umekula kishungi mwenyeweπDah! Sawa bwanaππππ
Basi sawa ankal...ππΏππΏHayo ya kazi gani?
Mbona kama mauchawi? πΉπΉ
Yani mi kujadili jinsi ya kuipata katiba na Titcomb mpaka nitumie uchawi? Aaahh ankal mbona mwenyewe najiamini Sanaβa πΉπΉ
Hata nikimtaka haruki hapa..!! πββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ
Tunaheshimiana bana Titcomb acha zako πΉπΉπΉBasi sawa ankal...ππΏππΏView attachment 3650343