Wenye makebo makubwa karibuni mjinsikie mko nyumbani
Mambo yangu haya, ila Ile ya mwanzo Ile sio mchezoYou know good things😎View attachment 3650247
Bwashee upo kwa wairaq?
Hakikisha unafika kwao masai dada upate fahari ya machoNiko Mbulu huku nakula Kwant'e
Yuko Ilala huyo.. Masai wa bontown😆Hakikisha unafika kwao masai dada upate fahari ya macho
nipo dar dearHakikisha unafika kwao masai dada upate fahari ya macho
Haha! Hatari mjini..KENZY wapi wewe🤣View attachment 3650282