Tupo.Wala skanka wenzangu
Tuwake, jpili nikiokota hela mahali utadaka hata la 20k ujimimine , ngoja tuoneπ€£Weekend imeanza π₯
Hiyo ya "Mzee mpya sasa mweeh", ina walakini sanaKwani kuchagua mtu wa kupiga naye story inamaana wengine hawafai?
Imeishaa hyo aloooTupo.
Kabisa tajiri la kichaga!Tuwake, jpili nikiokota hela mahali utadaka hata la 20k ujimimine , ngoja tuoneπ€£
Nina jambo languπHiyo ya "Mzee mpya sasa mweeh", ina walakini sana
Jambo gani mzee nipo kusikiliza...πNina jambo languπ
Umezeeka umeambiwa na hiyo lebo yako kila mwakaLook how marvellous God isπ π
Kwa hiyo wazee hawatakiwi kupata wa kuongea nao!Umezeeka umeambiwa na hiyo lebo yako kila mwaka
Nina kazi nayeπJambo gani mzee nipo kusikiliza...π
Samahani mkuu huyu dada alizaliwa kweli au alishushwa tuu from no where??Tatizo mkorofi Ila nimekamiss kashepu kakoπView attachment 3650179
Babu hakidhi vigezo?π πNina kazi nayeπ
Wewe pia una Makebo makubwa?Likaka lina roho mbaya si shangai wewe ni mchaga
Mzee unanibananisha nakosa pumzi!Babu hakidhi vigezo?π π
Twende taratibu mjukuuMzee unanibananisha nakosa pumzi!
Oya π hii Mali ya wapi, kama ni kuku huyu ni kienyeji zile za zamani aiseeTatizo mkorofi Ila nimekamiss kashepu kakoπView attachment 3650179