Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
πΉπΉπΉππWe endelea kupiga kelele za kiini utakua mtamu
Kwenye cappuccino nako mnakuwaga wasumbufu?Marumaru mbona hawauzi cappuccino apa twende pengineπΉπΉ
Jishaue Ata mwenyew nanunua tatizo coffee ni Kama nimekua addicted nayo so siwez pita siku sijanywa mchana usiku au asubuiKwenye cappuccino nako mnakuwaga wasumbufu?
Ukinipeleka kwenye cappuccino NAKUPIGA CHINI kwasababu una matumizi mabovu ya pesa, hiyo hela si ningekununulia kopo la milo ukatengeneze cappuccino nyumbani
Ila ndo ule wali mmbichi πHaiko mbali na ukweli, ukitaka kuona tabia ya mtu, angalia vile anavyowatreat wengine hasa wale walio chini yake.
Mtafanyaje sasa, maana mnapimwa u-wife material kila mahali π πIla ndo ule wali mmbichi π
Et mtoa mada alitaka mdada wa watu asiseme Kuna kiini πΉπΉπΉππΎIla ndo ule wali mmbichi π
πΉπΉπΉππΎ Naomba asianzishe na ya kuongea na konda Kwa daladalaMtafanyaje sasa, maana mnapimwa u-wife material kila mahali π
Ni kila mahali mnapimwa, inabidi muwe wapole tu π π ππΉπΉπΉππΎ Naomba asianzishe na ya kuongea na konda Kwa daladala
Wacha tuanze kuweka ugumu wa kikao wanaumeπΉπΉπΉππΎ Naomba asianzishe na ya kuongea na konda Kwa daladala
Mambo yanakua mengi sasaπΉπΉππΎNi kila mahali mnapimwa, inabidi muwe wapole tu π π π
We nae umeanza πΉπΉππΎ mkishaeka ugumu mtafika wapi utaona thread inaanza sijui nimfanye nn uyu single mamaWacha tuanze kuweka ugumu wa kikao wanaume
Nitoe Pesa yangu halafu nivumilie nani kasema π π kama hicho ndo kigezo kwisha habari yangu πEt mtoa mada alitaka mdada wa watu asiseme Kuna kiini πΉπΉπΉ
Yaan kwisha habari yetu πΉπΉπΉNitoe Pesa yangu halafu nivumilie nani kasema π π kama hicho ndo kigezo kwisha habari yangu π
hapo bado hakupima utafunaji πYaan kwisha habari yetu πΉπΉπΉ
Mbn umefika mbali mapema air force wwπ€We nae umeanza πΉπΉππΎ mkishaeka ugumu mtafika wapi utaona thread inaanza sijui nimfanye nn uyu single mama
Kazi imeanzaπWanawake wengi wapo hvyo wanapokuwaga migahawani,mke wangu nae yupo hvyo na kweli nyumban panawaka moto kabla ya mwez wa nne nitakuwa nimeshamkimbia
Kuna demu mmoja aliwah niambia hawez kula mgahawan,ni bora ajipikie,anasema huwa hajisikii vizuri kula chakula kilichopikwa na mwanamke mwingine ambae hajamzoea
Thread inaanza nimekutana na dada anakula kama fisi na Bado anaongea uku anakula πΉπΉhapo bado hakupima utafunaji π
Air force one πΉπΉππΎMbn umefika mbali mapema air force wwπ€
Anatafuna kama karumakengeππ πThread inaanza nimekutana na dada anakula kama fisi na Bado anaongea uku anakula πΉπΉ