Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
😹😹😹😂😂We endelea kupiga kelele za kiini utakua mtamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹😂😂We endelea kupiga kelele za kiini utakua mtamu
Kwenye cappuccino nako mnakuwaga wasumbufu?Marumaru mbona hawauzi cappuccino apa twende pengine😹😹
Jishaue Ata mwenyew nanunua tatizo coffee ni Kama nimekua addicted nayo so siwez pita siku sijanywa mchana usiku au asubuiKwenye cappuccino nako mnakuwaga wasumbufu?
Ukinipeleka kwenye cappuccino NAKUPIGA CHINI kwasababu una matumizi mabovu ya pesa, hiyo hela si ningekununulia kopo la milo ukatengeneze cappuccino nyumbani
Ila ndo ule wali mmbichi 😅Haiko mbali na ukweli, ukitaka kuona tabia ya mtu, angalia vile anavyowatreat wengine hasa wale walio chini yake.
Mtafanyaje sasa, maana mnapimwa u-wife material kila mahali 😂 😆Ila ndo ule wali mmbichi 😅
Et mtoa mada alitaka mdada wa watu asiseme Kuna kiini 😹😹😹🙌🏾Ila ndo ule wali mmbichi 😅
😹😹😹🙌🏾 Naomba asianzishe na ya kuongea na konda Kwa daladalaMtafanyaje sasa, maana mnapimwa u-wife material kila mahali 😂
Ni kila mahali mnapimwa, inabidi muwe wapole tu 😂 😂 😆😹😹😹🙌🏾 Naomba asianzishe na ya kuongea na konda Kwa daladala
Wacha tuanze kuweka ugumu wa kikao wanaume😹😹😹🙌🏾 Naomba asianzishe na ya kuongea na konda Kwa daladala
Mambo yanakua mengi sasa😹😹🙌🏾Ni kila mahali mnapimwa, inabidi muwe wapole tu 😂 😂 😆
We nae umeanza 😹😹🙌🏾 mkishaeka ugumu mtafika wapi utaona thread inaanza sijui nimfanye nn uyu single mamaWacha tuanze kuweka ugumu wa kikao wanaume
Nitoe Pesa yangu halafu nivumilie nani kasema 😅😅 kama hicho ndo kigezo kwisha habari yangu 😅Et mtoa mada alitaka mdada wa watu asiseme Kuna kiini 😹😹😹
Yaan kwisha habari yetu 😹😹😹Nitoe Pesa yangu halafu nivumilie nani kasema 😅😅 kama hicho ndo kigezo kwisha habari yangu 😅
hapo bado hakupima utafunaji 😅Yaan kwisha habari yetu 😹😹😹
Mbn umefika mbali mapema air force ww🤔We nae umeanza 😹😹🙌🏾 mkishaeka ugumu mtafika wapi utaona thread inaanza sijui nimfanye nn uyu single mama
Kazi imeanza😂Wanawake wengi wapo hvyo wanapokuwaga migahawani,mke wangu nae yupo hvyo na kweli nyumban panawaka moto kabla ya mwez wa nne nitakuwa nimeshamkimbia
Kuna demu mmoja aliwah niambia hawez kula mgahawan,ni bora ajipikie,anasema huwa hajisikii vizuri kula chakula kilichopikwa na mwanamke mwingine ambae hajamzoea
Thread inaanza nimekutana na dada anakula kama fisi na Bado anaongea uku anakula 😹😹hapo bado hakupima utafunaji 😅
Air force one 😹😹🙌🏾Mbn umefika mbali mapema air force ww🤔
Anatafuna kama karumakenge😝😅😅Thread inaanza nimekutana na dada anakula kama fisi na Bado anaongea uku anakula 😹😹