Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Duh ngosha nisamehe bureNilikuwa nakutafuta. Yaani semina ipo hapa Kawe halafu hujanitonya kama tulivyokubaliana. Why?
Nimekasirika sana!
Nimeifungua kwa ajili yako. Kwa siku tatu tu. Njoo sasa ujitetee tuone utakavyoshinda hii kesi. Mungu ni mwema! 🙏🏿Duh ngosha nisamehe bure
We mwenyewe humu hupatikani inbox imefungwa🤗🤷
Huwa unakula mgahawa upiNasoma komenti🤣
Sasa unamkimbia unakwenda wapi?Wanawake wengi wapo hvyo wanapokuwaga migahawani,mke wangu nae yupo hvyo na kweli nyumban panawaka moto kabla ya mwez wa nne nitakuwa nimeshamkimbia
Kuna demu mmoja aliwah niambia hawez kula mgahawan,ni bora ajipikie,anasema huwa hajisikii vizuri kula chakula kilichopikwa na mwanamke mwingine ambae hajamzoea
Nilishaacha kula kwenye migahawaHuwa unakula mgahawa upi
Duh🤣🤣🤣Nimeifungua kwa ajili yako. Kwa siku tatu tu. Njoo sasa ujitetee tuone utakavyoshinda hii kesi. Mungu ni mwema! 🙏🏿
Noted,nitaisave hii kwenye diary...Nipo zangu kwenye mgahawa, napata menu, halafu kuna binti naye yupo hapa. YAAANI mwanamke msumbufu kwenye kuagiza chakula mpaka unaanza kujiuliza huyo jamaa wake huko nyumbani anapitia nini.
Akaletewa wali na nyama. Lakini haikuchukua sekunde nyingi, akaanza malalamiko—nyama ina mafuta. Mhudumu, kwa ustaarabu wake, akambadilishia. Baada ya kula vijiko viwili, akaita mhudumu tena: "Samahani, naomba chumvi, lakini pia huu wali una kiini." Ikumbukwe, sisi wengine tunakula wali huo huo na upo sawa tu.
Bado mambo hayajaisha. Akaagiza soda. Soda imefuka kidogo, akalalamika: "Hii haina ule unaridi nilioutegemea." Wahudumu wakamweleza kwa upole kuwa cha baridi sana ni juisi ya matunda, maana imekaa muda mrefu kwenye friji. Badala ya kuelewa, akaanza kubwabwaja juu ya hatari ya kuumwa tumbo kwa kunywa juisi hiyo. Ikumbukwe, sisi wengine tunakunywa juisi hiyo hiyo na hakuna anayelia.
Kwa nilichoshuhudia hapa, nimepata litmus test matata kwa wanaopanga kujivutia jiko ndani. Unataka kujua huyo mwanamke kama mtawezana? Mpeleke kwa Mama Ntilie. Kama ataita muhudumu mara tatu kwa mambo madogomadogo ambayo yanaweza kuvumilika, tambua kuwa huko mbele kuna safari ngumu. Lakini kama anaweza kula kilichopo bila visingizio vya kila dakika, basi pengine huyo anaweza kuwa chaguo sahihi.
Maisha siyo Instagram. Uvumilivu kwa mambo madogo huakisi uwezo wa kuvumilia changamoto kubwa. Kama mwanamke anaweza kufanya wahudumu wakakimbizana kwa amri zake zisizoisha kwa mlo mmoja, vipi itakavyokuwa kwenye ndoa? Kaka, zingatia.
Hayo sio matatizo, ila Hilo la kushika chupa ya soda Bora utembee na tissue Yako uwe unafuta soda, ukilalamika watasema unajishaua😂😁😁😁
Mimi usumbufu wangu unakuwaga kwenye namna ya kushika chupa ya soda mhudumu/muuza vinywaji anaponiletea.
Sipendi ashike shingo ya chupa.
Upande wa chakula nitamsumbua kwenye kufuta meza kabla hajaleta chakula.
Hili nalo ni tatizo?
Nikikupeleka kwa wakwe utaanza kumsumbua mama yangu maana ushaonekana ni mtu wa high maintenance, usije kusema bimdashi anapika mchuzi nyanya zinaelea wakati sisi ndio tunavyokulagaWhat has to do with love?? Sijakupata kabisa Yan mim kukosoa kitu ndo iwe sababu ya kuachika kheee umalaika gan huo niliokua nao jaman
Ndio uanze kusumbua watu kwa chakula cha 1500 kweli?Wanaume wengi hamjui kujudge chakula ni wachache sana wanafanya Ivo ila Kwa wanawake Hilo ni kawaida sana Kwan kusema sili nyama ya mafuta Kuna tatizo? Na hii Hali ya hewa upewe soda ya moto itashuka kweli? Juice za kutengeneza hazina usalama ndio tumeona kwenye mitandao wanavoosha miguu kwenye juice ndo watengeneze sijaona baya alilofanya
Buku Jero? Ndio usumbue watu hivyo?Nitoe Pesa yangu halafu nivumilie nani kasema 😅😅 kama hicho ndo kigezo kwisha habari yangu 😅
Muwe mnasema tu ukweli kwamba mnataka wanawake watakaowavumilia tabia zenu mbovu kama ulevi na uasherati msiseme mambo madogo madogoOf course, mwanaume Sio kama kuku anayerudi bandani kwa majira ya jua kuzama