Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
- Thread starter
-
- #121
Leo anamfanyia muhudumu kesho hizo tabia zitahamia kwako na zitaanza kuwa kero, ghafla utasikia huwa nakula mlenda ila Siri Mchuzi wa bamiaWhy sasa iwe kipimo cha kumpimia mke in the first place kama sio uchawi
Ukiona mwanaume hajaacha au kupunguza uasherati na ulevi basi ujue huchezi vizuri nafasi Yako kama mke, mwanaume ni kama mbwa anachokihitaji akikipata nyumbani bais saa 12 jioni atakuwa hapoMuwe mnasema tu ukweli kwamba mnataka wanawake watakaowavumilia tabia zenu mbovu kama ulevi na uasherati msiseme mambo madogo madogo
Si kweli wanaume wengi huwa wanakiri kabisa kuwa hawatosheki na mwanamke mmoja ati ni nature, kwahiyo mtu wa hivyo unaona kabisa hata mke afanye nini atakuwa anajichosha tu, huwa mna visingizio vingi vya kuhalalisha maovu yenu ilihali ukweli mnaujua kabisa kuwa hamko tayari kutulia hata wake zenu wafanye mazuri ganiUk
Ukiona mwanaume hajaacha au kupunguza uasherati na ulevi basi ujue huchezi vizuri nafasi Yako kama mke, mwanaume ni kama mbwa anachokihitaji akikipata nyumbani bais saa 12 jioni atakuwa hapo
nakwede97 Anastasia21 Xi Jinping Natafuta Ajira Extrovert Zemanda Fanton Mahal Melancholic mm binafsi nina theory yangu, ukiacha swala la kumshirikisha Mungu ili mwanaume upate wife material, hii ni njia ya kum-test mdada kama ni wife material, hii test wanawake wengi sana huwa wanafeliWhat has to do with love?? Sijakupata kabisa Yan mim kukosoa kitu ndo iwe sababu ya kuachika kheee umalaika gan huo niliokua nao jaman
Wanaume wengi hamjui kujudge chakula ni wachache sana wanafanya Ivo ila Kwa wanawake Hilo ni kawaida sana Kwan kusema sili nyama ya mafuta Kuna tatizo? Na hii Hali ya hewa upewe soda ya moto itashuka kweli? Juice za kutengeneza hazina usalama ndio tumeona kwenye mitandao wanavoosha miguu kwenye juice ndo watengeneze sijaona baya alilofanya
Wanaume tunaweza kutosheka na mwanamke mmoja shida ni kujiendekeza tu, mwanaume kuwa na mke mmoja inawezekana JaddaSi kweli wanaume wengi huwa wanakiri kabisa kuwa hawatosheki na mwanamke mmoja ati ni nature, kwahiyo mtu wa hivyo unaona kabisa hata mke afanye nini atakuwa anajichosha tu, huwa mna visingizio vingi vya kuhalalisha maovu yenu ilihali ukweli mnaujua kabisa kuwa hamko tayari kutulia hata wake zenu wafanye mazuri gani
Jaman eh mbona test nyingi ivi adi kuigiza sitofanikiwa 😹💔nakwede97 Anastasia21 Xi Jinping Natafuta Ajira Extrovert Zemanda Fanton Mahal Melancholic mm binafsi nina theory yangu, ukiacha swala la kumshirikisha Mungu ili mwanaume upate wife material, hii ni njia ya kum-test mdada kama ni wife material, hii test wanawake wengi sana huwa wanafeli
Generosity test:
Mwanaume unamuomba girlfriend wako, au hata mdada ambae una mpango wa kumtongoza, unamuomba kitu kidogo sana, like unamuomba akununulie andazi, au lunch. Simaanishi mwanaume ndo uwe marioo, jukumu la ku-provide linakua palepale, ila unamuomba halafu unaangalia reaction yake..mara nyingi it's aidha akunyime au akupe huku analalamika
Hii test ni noma sana, many women wanafeli hii test, ndo utajua girlfriend wako ni mtu wa namna gani, like hata ukimuoa hatopenda wageni, na ndugu wa mume from start, ataona wanammalizia chakula..
Hii test pia inaonesha her interest level kwa mwanaume, mwanamke asiekupenda hawezi kubali ule vyake, most of times na hii test utagundua kumbe girlfriend ulienae ni mchoyo/golddigger/ kwako kajiegesha tu
NB: Mwanaume ukitaka wife material hakikisha na wewe ni husband material, sio unaotaka wife material ila unachepuka, huhudumii familia, unanyanyasa mke na watoto, etc
Basi ww utakua mchoyo wa chakula & hela 😁 Anastasia21Jaman eh mbona test nyingi ivi adi kuigiza sitofanikiwa 😹💔
M nimeolewa nitunze ukoo wa mume 😹🙌🏾Basi ww utakua mchoyo wa chakula & hela 😁 Anastasia21
Hujakosea.. unakuta mtu jambo dogo tu linalohitaji nukta sifuri kulivumilia analikomalia utafikiri amekatwa nyama ya paja.. Wanadamu tumeumbwa kwa hulka na namna nyingi za uvumilivu,shida nyingi zinazotupata katika maisha ni namna tunavyoshindwa kutambua tabia za watu tunaochangamana katika harakati za maisha...Haiko mbali na ukweli, ukitaka kuona tabia ya mtu, angalia vile anavyowatreat wengine hasa wale walio chini yake.
Mimi sio mchoyo kwenye chakula usiniombe hela maana jibu langu ni Sina ila ukisema Nina njaa basi nitanunua chakula ulenakwede97 Anastasia21 Xi Jinping Natafuta Ajira Extrovert Zemanda Fanton Mahal Melancholic mm binafsi nina theory yangu, ukiacha swala la kumshirikisha Mungu ili mwanaume upate wife material, hii ni njia ya kum-test mdada kama ni wife material, hii test wanawake wengi sana huwa wanafeli
Generosity test:
Mwanaume unamuomba girlfriend wako, au hata mdada ambae una mpango wa kumtongoza, unamuomba kitu kidogo sana, like unamuomba akununulie andazi, au lunch. Simaanishi mwanaume ndo uwe marioo, jukumu la ku-provide linakua palepale, ila unamuomba halafu unaangalia reaction yake..mara nyingi it's aidha akunyime au akupe huku analalamika
Hii test ni noma sana, many women wanafeli hii test, ndo utajua girlfriend wako ni mtu wa namna gani, like hata ukimuoa hatopenda wageni, na ndugu wa mume from start, ataona wanammalizia chakula..
Hii test pia inaonesha her interest level kwa mwanaume, mwanamke asiekupenda hawezi kubali ule vyake, most of times na hii test utagundua kumbe girlfriend ulienae ni mchoyo/golddigger/ kwako kajiegesha tu
NB: Mwanaume ukitaka wife material hakikisha na wewe ni husband material, sio unaotaka wife material ila unachepuka, huhudumii familia, unanyanyasa mke na watoto, etc
Hayo ni maisha yetu watanzania ila sio kwa kwenda ununue chakula ukute hakina uboraNikikupeleka kwa wakwe utaanza kumsumbua mama yangu maana ushaonekana ni mtu wa high maintenance, usije kusema bimdashi anapika mchuzi nyanya zinaelea wakati sisi ndio tunavyokulaga
Mkuu hiki ni kisingizio cha wanaume waasherati lili kuhalalisha matendo yao. Binadamu anatakiwa aweze ku-control hisia zake. Ohooo.Si kweli wanaume wengi huwa wanakiri kabisa kuwa hawatosheki na mwanamke mmoja ati ni nature, kwahiyo mtu wa hivyo unaona kabisa hata mke afanye nini atakuwa anajichosha tu, huwa mna visingizio vingi vya kuhalalisha maovu yenu ilihali ukweli mnaujua kabisa kuwa hamko tayari kutulia hata wake zenu wafanye mazuri gani
Hapo kwenye kuchepuka sometimes tuwaelewe tu wanaume wenzetu. Linapokuja suala la sex mwanaume yupo tayari muda wowote siku yoyote lakini wanawake wana changamoto na visingizio vingi sana.NB: Mwanaume ukitaka wife material hakikisha na wewe ni husband material, sio unaotaka wife material ila unachepuka, huhudumii familia, unanyanyasa mke na watoto, etc
Kwenye kunyanyasa mke na kutokuhudumia familia hapa mi naona Kuna walakini , asilimia kubwa hamna anayeulizaga mwanaume anapitia nini mpaka kutelekeza majukumu yake; wanawake wengi huharibu mahusiano na mababa wa watoto zao kwa mikono Yao wenyewe; viburi, dharau (hamna kitu mwanaume mpambanaji hapendi kama hichi) na kadhalika na kadhalika, mwanamke akishapoteza hadhi ya uanamke kwenye macho ya mwanaume wake basi ujue ataanza kukutreat kama mwanaume mwenzako ambaye anapambana naeLakini hapo kwenye kutohudumia familia na kunyanyasa mke huo sio ustaarabu
Ni yanguBuku Jero? Ndio usumbue watu hivyo?
njoo upaone kwanza alafu utajua kuna nnKuna nn pm kiongozi
Eh 😹😹😹njoo upaone kwanza alafu utajua kuna nn
Mda huu ungekua umekuja mjini PM tungekua tumeyatafakar mengi tu hata hio emoji ungeitype kule mjini PM enewei tusimwage mchele kwenye kuku wengi njoo mjin PM tuyajenge vzrEh 😹😹😹