Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Duh
😹😹Wanawake wengi wapo hvyo wanapokuwaga migahawani,mke wangu nae yupo hvyo na kweli nyumban panawaka moto kabla ya mwez wa nne nitakuwa nimeshamkimbia
Kuna demu mmoja aliwah niambia hawez kula mgahawan,ni bora ajipikie,anasema huwa hajisikii vizuri kula chakula kilichopikwa na mwanamke mwingine ambae hajamzoea