Unataka Kupima kama huyo Mpenzi wako ni Wife Material? Mpeleke kwa Mama Ntilie, akisumbua mhudumu mara 3 kwa sababu zinazovumilika PIGA CHINI!

Wanawake wengi wapo hvyo wanapokuwaga migahawani,mke wangu nae yupo hvyo na kweli nyumban panawaka moto kabla ya mwez wa nne nitakuwa nimeshamkimbia

Kuna demu mmoja aliwah niambia hawez kula mgahawan,ni bora ajipikie,anasema huwa hajisikii vizuri kula chakula kilichopikwa na mwanamke mwingine ambae hajamzoea
Chukua huyo wife material anayesema hawezi Kula chakula cha mwanamke mwenzie!!!!
Achana na akina Mimi nikiwa mwenyewe,hata mwezi unakata Sijaingia jikoni halafu fresh tu🤗🤗🤗🤗🤗🤗
 
Lakini chipsi anakula na hajari kama mishkaki imelala; kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
Kwenye chips sijawah msikia,tena kuna sehem ni maarufu sana kuna wapika chips wengi sana lakin ile sehem chips zao sio nzur kabisa mara ziungue mayai wanaweka kidogo hata viazi,customer care hawana

Yaan mimi ndo niliianza kumsanua kuwa hapa hapana tuwe tunaenda kwingine ila yeye alikuwa haoni wala kusikia
 
Nipo zangu kwenye mgahawa, napata menu, halafu kuna binti naye yupo hapa. YAAANI mwanamke msumbufu kwenye kuagiza chakula mpaka unaanza kujiuliza huyo jamaa wake huko nyumbani anapitia nini.

Akaletewa wali na nyama. Lakini haikuchukua sekunde nyingi, akaanza malalamiko—nyama ina mafuta. Mhudumu, kwa ustaarabu wake, akambadilishia. Baada ya kula vijiko viwili, akaita mhudumu tena: "Samahani, naomba chumvi, lakini pia huu wali una kiini." Ikumbukwe, sisi wengine tunakula wali huo huo na upo sawa tu.

Bado mambo hayajaisha. Akaagiza soda. Soda imefuka kidogo, akalalamika: "Hii haina ule unaridi nilioutegemea." Wahudumu wakamweleza kwa upole kuwa cha baridi sana ni juisi ya matunda, maana imekaa muda mrefu kwenye friji. Badala ya kuelewa, akaanza kubwabwaja juu ya hatari ya kuumwa tumbo kwa kunywa juisi hiyo. Ikumbukwe, sisi wengine tunakunywa juisi hiyo hiyo na hakuna anayelia.

Kwa nilichoshuhudia hapa, nimepata litmus test matata kwa wanaopanga kujivutia jiko ndani. Unataka kujua huyo mwanamke kama mtawezana? Mpeleke kwa Mama Ntilie. Kama ataita muhudumu mara tatu kwa mambo madogomadogo ambayo yanaweza kuvumilika, tambua kuwa huko mbele kuna safari ngumu. Lakini kama anaweza kula kilichopo bila visingizio vya kila dakika, basi pengine huyo anaweza kuwa chaguo sahihi.

Maisha siyo Instagram. Uvumilivu kwa mambo madogo huakisi uwezo wa kuvumilia changamoto kubwa. Kama mwanamke anaweza kufanya wahudumu wakakimbizana kwa amri zake zisizoisha kwa mlo mmoja, vipi itakavyokuwa kwenye ndoa? Kaka, zingatia.
Nilikutana na mmoja mjinga sana aircondition ipo mpaka mwisho ila bado anaita wahudumu waje warekebishe maana haifanyi kazi vizuri, mara chakula kina chumvi kibao anaita tena mhudumu kumsema, usiku mara usinikojolee ndani tutagombana, asubuhi tulivyoondoka nikapiga chini ujinga staki
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu ila unaongea fact..🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna demu nilimtoa out sehemu tukale kitimotooo aiseee hapanaa pale ndo nikajua huyu ni bomuuu haswaaaa yani hamna mke paleee analalamika mpaka vitu vidogo sana ambavyo unaweza hata usinotice just imagine alihesabu vipande vya ndizi zile nusu nusu wanakata kwenye kitimoto pia akaangalia moja size ilikuwa ndogo sana nilimkataza apotezeee tutalipa tu weew alimuita mhudumu akamchambaa na akasema hatulipiii ndizi zile ndogo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mamaeee nilijisikia aibuu sanaaa yule manzi nilipotoka pale na namba nikafutaaa khaaa uvumilivu hama kabisa.
 
Nipo zangu kwenye mgahawa, napata menu, halafu kuna binti naye yupo hapa. YAAANI mwanamke msumbufu kwenye kuagiza chakula mpaka unaanza kujiuliza huyo jamaa wake huko nyumbani anapitia nini.

Akaletewa wali na nyama. Lakini haikuchukua sekunde nyingi, akaanza malalamiko—nyama ina mafuta. Mhudumu, kwa ustaarabu wake, akambadilishia. Baada ya kula vijiko viwili, akaita mhudumu tena: "Samahani, naomba chumvi, lakini pia huu wali una kiini." Ikumbukwe, sisi wengine tunakula wali huo huo na upo sawa tu.

Bado mambo hayajaisha. Akaagiza soda. Soda imefuka kidogo, akalalamika: "Hii haina ule unaridi nilioutegemea." Wahudumu wakamweleza kwa upole kuwa cha baridi sana ni juisi ya matunda, maana imekaa muda mrefu kwenye friji. Badala ya kuelewa, akaanza kubwabwaja juu ya hatari ya kuumwa tumbo kwa kunywa juisi hiyo. Ikumbukwe, sisi wengine tunakunywa juisi hiyo hiyo na hakuna anayelia.

Kwa nilichoshuhudia hapa, nimepata litmus test matata kwa wanaopanga kujivutia jiko ndani. Unataka kujua huyo mwanamke kama mtawezana? Mpeleke kwa Mama Ntilie. Kama ataita muhudumu mara tatu kwa mambo madogomadogo ambayo yanaweza kuvumilika, tambua kuwa huko mbele kuna safari ngumu. Lakini kama anaweza kula kilichopo bila visingizio vya kila dakika, basi pengine huyo anaweza kuwa chaguo sahihi.

Maisha siyo Instagram. Uvumilivu kwa mambo madogo huakisi uwezo wa kuvumilia changamoto kubwa. Kama mwanamke anaweza kufanya wahudumu wakakimbizana kwa amri zake zisizoisha kwa mlo mmoja, vipi itakavyokuwa kwenye ndoa? Kaka, zingatia.
Acha mbinu za mwaka 1947! Bro tumeishatoka huko, ni sawa na kusema oa mwanamke anayejua kufua, kulima,kupika! Mambo ya hovyo kabisa, kuna mashine za, kufua, kukausha, kulima, kupanda! Tupo 2025!
 
Mpka sasa kuna Wanawake wa familia za Kawaida hawajui kupika hivi hii usababishwa na nini ?😂😂
 
Back
Top Bottom