Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
WOMEN, ATTENTION
$Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30.
$Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume.
$Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake.
$Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake
MEN, LUST
$Uza cha kumfanya mwanaume aweze ku-imperess wanawake
$Uza cha kumfanya mwanaume azifikie sexual fantasies zake
$Muzaaji wa bidhaa mrembo mwanamke acheze na akili ya mwanaume mnunuaji adhani kuwa "this gorgeuous woman is impressed with me"
$Uza cha kumfanya mwanaume asahau sexual frustrations na relationship frustrations zake
TEENAGERS, DREAMS
$Uza cha kumfanya kijana mdogo wa kiume ajione matawi kama celebrity idol wake.
$Uza cha kumfanya kijana mdogo wa kike ajione kama princess.
$Uza chochote chenye mfumo wa "sweetness" na "refreshing" kwa kijana mdogo wa kike
$Uza kitakacho muwezesha kijana mdogo aweze kupata engagement na kuwa connected na watu mbali mbali