Unataka kwenda Australia? Njia hii hapa ushindwe mwenyewe

Unataka kwenda Australia? Njia hii hapa ushindwe mwenyewe

Duuuh ngoja nikaongeze wigo wa elimu nitaenda tu
 
Duuh, juzi kati kuna matapeli walikuja na gia hii wakidai kuna kazi huo. tulio apply tulipata hizo kazi kufika kwenye suala la vizaa sasa ndio wakasema tumtmie hela mtu fulani (tapeli) ili tuprocess viza tuzame zetu Australia... Kwa kweli jamaa waliboa sana mpaka sina hamu napo, maana nilishakuwa nimejiandaa kuondoka bongo...
 
mkuu umeeleza poa sana kila mtu angekua kama wewe na mimi Dunia ingekua mahali poa sana pa kuishi

Btw Australia ni mahali poa sana kuishi na kufanya kazi watu wachangamkie fursa na Australia kila mtu anataka kwenda nafasi zinagombaniwa sana na interview zao ni interview kweli ila yoyote anayetaka kwenda namtia moyo INAWEZEKANA
pamo1 mkuu
 
Dah sasa hapo ndio umuhim wa elim. Ningechangamkia hii fursa tatizo mimi ni form 4 tena ya kuunga.

Pia bongo hatuko serious. Kabla sijaja Denmark aliyenileta huku akanitumia hela nilimuomba za English koz na macertificate ya ajab. Nikajiunga na chuo flan cha kishkaj kilichosajiliwa na veta juu gorofan pale kariako niliipata kupitia tangazo kwenye gazet sijui Sani ama Kiu. Nakumbuka nililipia form elf 16 nikasoma et hotel management 2007. Yaan wote tulioenrol pale tulikuwa vimeo na vihiyo full story darasan.

Baada ya hapo Nikaenroll UCC kuchukua maweb designing. Ilibid niachie katikati kwasabab kulikuwa na mahesab ya ajab ajab cjawahi kuona nikasema this is bullshit. Nikamuonga ticha pale akanipa chet.

Elim ya bongo ni nzur tu tena sana(Olevo Alevo had chuo) ila wanaosoma iyo elim (wabongo) weng ndio tatizo.

Ila Australian economy is booming wale wenye elim zao na funds za kutosha hii ni fursa. Tatizo mbali
 
Wale wasomi wetu wa hapa Kiswahili tu na wasio na lugha mmbadala inayotamba duniani wanajitoa wenyewe mapemaaaaaa wakalale.
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom