Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Interview inafanyikia wapi?Iko poua ! Vijana mliona elimu hizo fursa hiyo,interview ni hatua pia ukikosa safari hii ! Unajaribu wakati mwingine na inakujengea uwezo mzuri
Nitatoa maelekezo vzr badae vuta subira mkuu
mkuu naomba kujua nani atakuwa responsible kwa gharama za usafiri kutoka mfano TZ kwenda AUSTRALIA kama mtu akipata nafasi..Ukipata nafasi ni muhimu kuuliza kodi kwa sababu Australia ina kodi kubwa kwa experts karibu 45% ukikosea makubaliano ya mshahara imekula kwako.
Kuna jamaa yangu alikuwa amepewa mshahara wa us 9000 kwa mwezi ila take home ikawa us 4500 baada ya makato ilibidi akimbie
Wabongo wengi tuna hofu ukizingatia na kiingereza cha hapa na pale
Kingereza cha hapa na pale ni tatizo
dada Sara, twenzetu Aus 'tukachukue maisha'. Bongo miyeyusho! Teh
Twende kaka ila hakikisha document zote unazo maana wanafatilia kinoma. Hata ukikosea helufi moja ya jina lako kwao ni kosa kubwa. Mfano Kaveli kwenye cheti Cha kuzaliwa, alafu cheti Cha shule Kavely or Kaveri. Hapo ni rekebisha mapemaaaa ili ukianza process zao iwe nafuu.
Wabongo wengi tuna hofu ukizingatia na kiingereza cha hapa na pale
Jerrymsigwa nina maswali kadhaa mie nimeingia kwenye hiyo page nikajaza baadhi ya details nikaambiwa ninameet requirements wanazohitaji niwasiliane na ubalozi wa karibu kwa msaada zaidi sasa nafanyaje?