Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,374
- 1,201
Unamjua Dr. Strive Masiyiwa?? Anafanya master class of business, economics and entrepreneurship kila wiki facebook na ni billionaire (Google him if you don't know him)
Actually GLOBAL CITIZEN hajasema kua yeye ni millionaire or billionaire ila nilichomwelewa yuko mbioni kuelekea huko kutokana na anachokifanya. Na ameamua kutushtua na sisi kwa anaehitaji aunge tela. Bytheway hatakama baadae atawatoza wanafunzi wake pesa kwani kuna tatizo gani kama elimu mwanafunzi anayoipata / atakayoipata itamsaidia kutatua matatizo yake ya kiuchumi? Ok, kama unaona elimu ni ghali basi jaribu ujinga (kwa maana uko very cheap).
My take kwenye huu uzi ni hiyo content aliyoiandika, siko sana interested na kutaka kujifunza aina hii ya online business (kuna aina nyingi tu za online businesses) whether unataka au hutaki alichokiandika kuhusu being poor and rich it makes sense for any smart person (unless you are idiot).
Sent using Jamii Forums mobile app

Sijawahi kuona tajiri anatangaza fursa rahisi kama hizi, afundishe bure kama nani?
Anafadhiliwa?
Muda anaoupoteza atalipwa na taasisi gani.
Hii insitwa mpe mbwa mfupa wenye sumu ummalize.
Huwa inaanza bure, mwendelezo wake ndipo unapigwa.
Ujue wewe ndiye fursa yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app