Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Unamjua Dr. Strive Masiyiwa?? Anafanya master class of business, economics and entrepreneurship kila wiki facebook na ni billionaire (Google him if you don't know him)
Actually GLOBAL CITIZEN hajasema kua yeye ni millionaire or billionaire ila nilichomwelewa yuko mbioni kuelekea huko kutokana na anachokifanya. Na ameamua kutushtua na sisi kwa anaehitaji aunge tela. Bytheway hatakama baadae atawatoza wanafunzi wake pesa kwani kuna tatizo gani kama elimu mwanafunzi anayoipata / atakayoipata itamsaidia kutatua matatizo yake ya kiuchumi? Ok, kama unaona elimu ni ghali basi jaribu ujinga (kwa maana uko very cheap).

My take kwenye huu uzi ni hiyo content aliyoiandika, siko sana interested na kutaka kujifunza aina hii ya online business (kuna aina nyingi tu za online businesses) whether unataka au hutaki alichokiandika kuhusu being poor and rich it makes sense for any smart person (unless you are idiot).
Sijawahi kuona tajiri anatangaza fursa rahisi kama hizi, afundishe bure kama nani?
Anafadhiliwa?
Muda anaoupoteza atalipwa na taasisi gani.
Hii insitwa mpe mbwa mfupa wenye sumu ummalize.
Huwa inaanza bure, mwendelezo wake ndipo unapigwa.
Ujue wewe ndiye fursa yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh!....bas mie nimekutana na tajiri aliniambia alivyoanza had alipo!..ss sijui na mm nilikua fursa!?
Kwahyo hakuna alofanikiwa akaamua kushare na jamii yake?hah hah hah hah!
 
Unamjua Dr. Strive Masiyiwa?? Anafanya master class of business, economics and entrepreneurship kila wiki facebook na ni billionaire (Google him if you don't know him)
Actually GLOBAL CITIZEN hajasema kua yeye ni millionaire or billionaire ila nilichomwelewa yuko mbioni kuelekea huko kutokana na anachokifanya. Na ameamua kutushtua na sisi kwa anaehitaji aunge tela. Bytheway hatakama baadae atawatoza wanafunzi wake pesa kwani kuna tatizo gani kama elimu mwanafunzi anayoipata / atakayoipata itamsaidia kutatua matatizo yake ya kiuchumi? Ok, kama unaona elimu ni ghali basi jaribu ujinga (kwa maana uko very cheap).

My take kwenye huu uzi ni hiyo content aliyoiandika, siko sana interested na kutaka kujifunza aina hii ya online business (kuna aina nyingi tu za online businesses) whether unataka au hutaki alichokiandika kuhusu being poor and rich it makes sense for any smart person (unless you are idiot).

Sent using Jamii Forums mobile app

Huu uzi umenipaga matabaka makuu ya kuwajua watz tuko wapi na wap tunaelekea!nakuelewa unachoandika!
 
Unamjua Dr. Strive Masiyiwa?? Anafanya master class of business, economics and entrepreneurship kila wiki facebook na ni billionaire (Google him if you don't know him)
Actually GLOBAL CITIZEN hajasema kua yeye ni millionaire or billionaire ila nilichomwelewa yuko mbioni kuelekea huko kutokana na anachokifanya. Na ameamua kutushtua na sisi kwa anaehitaji aunge tela. Bytheway hatakama baadae atawatoza wanafunzi wake pesa kwani kuna tatizo gani kama elimu mwanafunzi anayoipata / atakayoipata itamsaidia kutatua matatizo yake ya kiuchumi? Ok, kama unaona elimu ni ghali basi jaribu ujinga (kwa maana uko very cheap).

My take kwenye huu uzi ni hiyo content aliyoiandika, siko sana interested na kutaka kujifunza aina hii ya online business (kuna aina nyingi tu za online businesses) whether unataka au hutaki alichokiandika kuhusu being poor and rich it makes sense for any smart person (unless you are idiot).

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa umenena yaliyo ya kweli mkuu, ifike wakati watanzania tujifunze kukaa kimya kwa jambo tusilopenda kufanya, lakini tusiwe na negative mind na kukatishana tamaa kwa wanaohitaji kujifunza.
 
Matunda ya kusoma sana self help books,kusikiliza motivational speakers kwa wingi ndio haya sasa.

Story nyingi za kuvutia vutia lkn mfukoni bila bila.

Ila wakijileta we kula vichwa tu bila shida.
😂😂 jf bwana
 
Imenibidi nirudi kusoma uzi tena....
Maana nimesoma mara ya kwanza sikuona kiashilia cha utapeli wowote..

Nikahisi sabb nilikua kwenye usumbufu labda kuna vitu niliruka au sikuvitilia maanani Lakn bado sijaona kiashiria cha utapeli wowote kuanzia kwenye uzi mpk comments,

Wazee Hapa utapeli uko wapi?
Inamaana huna cha kujifunza hata kimoja?

Ndio labda sio vyote alivyoandika vinakufaa,
Lkn kwa nn usichukue kinachokufaa kikakunufaishaa?

kupishana kimawazo na mtizamo baadhi ya sehem ni kawaida...
Mimi na piaa naamini hata wewe, Mtu akitoa thread au ukisoma comments za wachangiaji kuna sehemu mwandishi huyo huyo unakubaliana naye unampa likes na nyingne unapita/unapingana naye..
Hii inatokea popote iwe uzi huu au mwingnee..
Lazima kufanan na kutofautiana kuwepo...
Na hii ndio inatupa kula sasa, na ndio maana kuna elimu sbb watu wanatofautiana.

Sasa Kweli kbsaa mada yote hio point unayoiona ni utapeli tuu? Tena usio na ushahidi,
Pili hajalazimisha mtu kwa chochote....

Ndio sikatai...
Wasiwasi ndio akilii..
Lkn sbb ushasema wasi wasi basi unapande mbili...
Ukweli na uingoo....km ni hvyo kwa nn usichunguze kuliko kuhukumuuu?

Mi nilichoona hapo ni ushauri, kufundishana kukumbushana na kutiana moyo...
Ingawa na wewe km kuendelea kwako ni mpk ukumbushwe au utiwe moyoo kuna shida mahalii..

Watu wanamshambulia mtoa mada bila hata ushahidi, kwa mtu mwenye roho nyepesi atashindwa hata kujifunza kilichoandikwa....

Tatzo linakuja pale
Unaposikia kile ambacho hutaki kusikia,
Unapoona kitu kwa yule ambaye hutaki kumuona, hata ni kizuri utakichukia japo moyo unakuuma,
Unaposikia mazuri nakat unapitia mabaya..
Unaposikia/ona mwenzako anafanya kile ambacho hukiwezi/huna uwezo nacho...

Tukubali njia za pesa ni nyingiii....
Na inajulikana hakuna pesa rahisi....
Hili sio jambo la kufundishana,
'Pesa ni ngumu kuichukua ilipo..'

Lakn huu ugumu tusikariri eti lazima utumie nguvu nyingii,
Sehem nyingne ni akili nyingii,

Sasa Mtu sbb umekariri msemo wa 'utakula kwa jasho' we unawaza maguvu tuu...

Ndio maana humu wanaoonekana matapeli wengi ni wale wanaoleta mambo ya online....
Na hii sibishi ipo na imetokana na baadhi yao kufanya utapeli kwa njia hii...
Lkn sio wotee....

Wizi upo kila sehemuu,
Ni wangapi humu wametapeliwa au kuibiwa physical? Jibu ni wengii
Wangapi pia wamefaidika na online bussines?
Jibu ni wengi.

kikubwa ni kukosa uelewaaa....
Mbeba Maroba ya viazi Ukimletea habari za Freelencer lazima ahisi kuna utapeli...
Yy amezoea kutoka jasho leo umwambie ashike simu apate pesa?

Sasa huku ndio kutofautiana na kunatufanya tusaidianaee

Hata hio simu uliyoshika hapo...
Aliyetengeneza hicho kioo na aliyetengeneza hicho unakiona hapo kwenye kioo ni watu wawili tofauti waliotofautiana ila wakaamua kuunganisha utofauti wao kukuletea ww hicho kidubwasha hapo,
Sasa wewe unataka kufanana,
wote wangetengeneza hio simu/hardware uliyoshika hapo, ungeona hicho unachokiona ndani ya simu/software..?

Kubali kutofautiana,
kubali kua mambo yanabadilika.
Kubali pia kujifunza hayo mabadiliko,
Kubali pia mambo mengi hujui,
Kubali kuzidiwa kwenye baadhi ya mambo,

Hata hao matapeli..
Kuna wa kwenye mitandao na wa mtaani...
Wamegawana na wametofautiana...
Usikalili utapelii
Umeenda shule elimu haijakusaidia, umetapeliwa pia.

Ndio utapeli upo.....ila kwa nn uhisi kutapeliwa kwenye kila jamboo?
Kwa nini uongope zaidi utapeli? Huoni km ni udhaifuu....kwa nn hofu hio ya kutapeliwa usiibadilishe ikawa mbinu za kumjua tapeli?.

Hili naongea bila kupepesa macho, bora uibiwe, ukwapuliwe n.k physical...
Ila ukikubali kutapeliwa mtandaoni...
Kubali pia kua wewe kwa mda Huo ni BOYAAAA...

Dunia ya leo wanapokutana watu wawili kufanya jambo la pesa, ni mambo mawili yanahusika..

Kuna anayetaka Kulinda pesa yake na Mwingne anataka aichukue/aipate hio pesa,
Na yupi ni mshindi itaamuliwa na
Speed of reasoning vs timing...

Hata k.koo wale matapeli wanaokukanyaga mguu makusudi halaf anakuchanganya et kwa nn unamkanyaga? ni timing tuu ile....

Sasa km wewe km network mpk u search baada ya kushtuka eti unampangusa au kuomba msamaha,
Network inarudi ukiwa kwenye daladala ndio baasi tenaa usilalamike....

Wewe utaishia kumuita teja kumbe ni
Smart in mind vs you smart in physical..
Sasa nani Teja wa akili?

Kuogopa kutapeliwa sio tuu kutakunyima wewe kujifunza mambo mengi lkn pia kujikosesha fursa pale unapohofia kitu ambacho hakipoo...

Why don't you face direct those you call them fraud/rascal and see how they fake? insted of being such a mindless dump who fear of nothing?

Kuna tofauti kubwa kati ya anayeogopa kutapeliwa akaacha kbsa hilo jambo, na anayechunguza jambo sbb anamashaka nalo...

Iko very clear
Umeacha = unakosa
Umechunguza = upate, ukose & ujifunze...

Mtoa mada toa unachoona kinamanufaa kwa unaowapaa..
Waelimikaji waelimikee,
Matapeli kuleni vichwa muwezavyooo....
Hii itawafanya wawe smart na sio waoga..
Watu wametapiliwa kura za urais wazi wazi wewe unaleta nadharia hapa......

Dunia ya leo inahitaji wenye akili ya kupekua na kupambanua sio Waoga wa wasivyo vijuaa..

Sasa wewe endelea kuogopaaa.
Siku unaogopa dili la kweli wenzako wanapita nalo, unakuja kulalamika ooooh mm sina bahati...
Kumbe kichwani umebeba maganda ya miwa na mbegu za mapapai..
 
Imenibidi nirudi kusoma uzi tena....
Maana nimesoma mara ya kwanza sikuona kiashilia cha utapeli wowote..

Nikasema sbb nilikua kwenye gari labda kuna mistar gari ilivyokua inanirusha kwenye bamps basi na mm nikairukaa...

Nimerudia sijaona bado...
Hapa utapeli uko wapi?
Inamaana huna cha kujifunza hata kimoja?

Ndio labda sio vyote alivyoandika vinakufaa,
Lkn kwa nn usichukue kinachokufaa kikakunufaishaa?

kupishana kimawazo na mtizamo baadhi ya sehem ni kawaida...
Hata mm na piaa naamini hata wewe,
Kwa mtoa thread au kwa wachangiaji kuna sehemu mwandishi unakubaliana naye unampa likes na nyingne unapita, lazima kufanan na kutofautiana kuwepo...
Na hii ndio inatupa kula sasa..

Sasa Kweli kbsaa mada yote hio point unayoiona ni utapali tuu? Tena usio na ushahidi,
Pili hajalazimisha mtu kufanua chochote....
Mi nilichoona hapo ni ushauri, kufundishana na kukumbushana, kutiana moyo...
Ingawa na wewe km kuendelea kwako ni mpk ukumbushwe au utiwe moyoo kuna shida mahalii..

Tatzo linakuja pale
Unaposikia kile ambacho hutaki kusikia,
Unapoona kitu kwa yule ambaye hutaki kumuona, hata ni kizuri utakichukia japo moyo unakuuma,
Unaposikia mazuri nakat unapitia mabaya..
Unaposikia/ona mwenzako anafanya kile ambacho hukiwezi/huna uwezo nacho...

Tukubali njia za pesa ni nyingiii....
Na inajulikana hakuna pesa rahisi....
Hili sio jambo la kufundishana,
'Pesa ni ngumu kuichukua ilipo..'

Lakn huu ugumu tusikariri eti lazima utumie nguvu nyingii,
Sehem nyingne ni akili nyingii,

Half humu wanaoonekana matapeli wengi ni wale wanaoleta mambo ya online....
Na hii sibishi ipo na imetokana na baadhi yao kufanya utapeli kwa njia hii...
Lkn sio wotee....

Wizi upo kila sehemuu,
Ni wangapi humu wametapeliwa au kuibiwa physical? Jibu ni wengii

Ila kikubwa ni kukosa uelewaaa....
Mbeba Maroba ya viazi Ukimletea habari za Freelencer lazima ahisi kuna utapeli...
Yy amezoea kutoka jasho leo umwambie ashike simu apate pesa?

Hata hio simu uliyoshika hapo...
Aliyetengeneza hicho kioo na aliyetengeneza hicho unakiona hapo kwenye kioo ni watu wawili tofauti waliotofautiana ila wakaamua kuunganisha utofauti wao kukuletea ww hicho kidubwasha hapo,
Sasa wewe unataka kufanana,
wote wangetengeneza hio simu/hardware uliyoshika hapo, ungeona hicho unachokiona ndani ya simu/software..?

Kubali kutofautiana,
kubali kua mambo yanabadilika.
Kubali pia kujifunza hayo mabadiliko,
Kubali pia mambo mengi hujui,
Kubali kuzidiwa kwenye baadhi ya mambo,

Hata hao matapeli..
Kuna wa kwenye mitandao na wa mtaani...

Hili naongea bila kupepesa macho, bora uibiwe, ukwapuliwe n.k physical...
Ila ukikubali kutapeliwa mtandaoni...
Kubali pia kua wewe kwa mda Huo ni BOYAAAA...

Dunia ya leo wanapokutana watu wawili kufanya jambo la pesa, ni mambo mawili yanahusika

Speed of reasoning vs timing...
Hata k.koo wale matapeli wanaokukanyaga mguu halaf anakuchanganya et kwa nn unamkanyaga? ni timing tuu ile....
Sasa km wewe km network mpk u search eti unajifanya unampangusa au kuomba msamaha
Mtandao unarudi ukiwa kwenye daladala ndio baasi tenaa usilalamike....
Wewe utaishia kumuita teja kumbe ni
Smart in mind vs you smart in physical..

Sasa nani Teja wa akili?

Mtoa mada toa unachoona kinamanufaa kwa unaowapaa..
Matapeli kuleni vichwa muwezavyooo....

Mkuu umetiririka hadi nimependa [emoji1430]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Imenibidi nirudi kusoma uzi tena....
Maana nimesoma mara ya kwanza sikuona kiashilia cha utapeli wowote..

Nikasema sbb nilikua kwenye gari labda kuna mistar gari ilivyokua inanirusha kwenye bamps basi na mm nikairukaa...

Nimerudia sijaona bado...
Hapa utapeli uko wapi?
Inamaana huna cha kujifunza hata kimoja?

Ndio labda sio vyote alivyoandika vinakufaa,
Lkn kwa nn usichukue kinachokufaa kikakunufaishaa?

kupishana kimawazo na mtizamo baadhi ya sehem ni kawaida...
Hata mm na piaa naamini hata wewe,
Kwa mtoa thread au kwa wachangiaji kuna sehemu mwandishi unakubaliana naye unampa likes na nyingne unapita iwe uzi huu au nyingnee..
Lazima kufanan na kutofautiana kuwepo...
Na hii ndio inatupa kula sasa..

Sasa Kweli kbsaa mada yote hio point unayoiona ni utapali tuu? Tena usio na ushahidi,
Pili hajalazimisha mtu kufanua chochote....
Mi nilichoona hapo ni ushauri, kufundishana na kukumbushana, kutiana moyo...
Ingawa na wewe km kuendelea kwako ni mpk ukumbushwe au utiwe moyoo kuna shida mahalii..

Watu wanamshambulia mtoa mada bila hata ushahidi, kwa mtu mwenye roho nyepesi atashindwa hata kujifunza kilichoandikwa....

Tatzo linakuja pale
Unaposikia kile ambacho hutaki kusikia,
Unapoona kitu kwa yule ambaye hutaki kumuona, hata ni kizuri utakichukia japo moyo unakuuma,
Unaposikia mazuri nakat unapitia mabaya..
Unaposikia/ona mwenzako anafanya kile ambacho hukiwezi/huna uwezo nacho...

Tukubali njia za pesa ni nyingiii....
Na inajulikana hakuna pesa rahisi....
Hili sio jambo la kufundishana,
'Pesa ni ngumu kuichukua ilipo..'

Lakn huu ugumu tusikariri eti lazima utumie nguvu nyingii,
Sehem nyingne ni akili nyingii,

Half humu wanaoonekana matapeli wengi ni wale wanaoleta mambo ya online....
Na hii sibishi ipo na imetokana na baadhi yao kufanya utapeli kwa njia hii...
Lkn sio wotee....

Wizi upo kila sehemuu,
Ni wangapi humu wametapeliwa au kuibiwa physical? Jibu ni wengii
Wangapi pia wamefaidika na online bussines?
Jibu ni wengi.

kikubwa ni kukosa uelewaaa....
Mbeba Maroba ya viazi Ukimletea habari za Freelencer lazima ahisi kuna utapeli...
Yy amezoea kutoka jasho leo umwambie ashike simu apate pesa?

Sasa huku ndio kutofautiana na kunatufanya tusaidianaee

Hata hio simu uliyoshika hapo...
Aliyetengeneza hicho kioo na aliyetengeneza hicho unakiona hapo kwenye kioo ni watu wawili tofauti waliotofautiana ila wakaamua kuunganisha utofauti wao kukuletea ww hicho kidubwasha hapo,
Sasa wewe unataka kufanana,
wote wangetengeneza hio simu/hardware uliyoshika hapo, ungeona hicho unachokiona ndani ya simu/software..?

Kubali kutofautiana,
kubali kua mambo yanabadilika.
Kubali pia kujifunza hayo mabadiliko,
Kubali pia mambo mengi hujui,
Kubali kuzidiwa kwenye baadhi ya mambo,

Hata hao matapeli..
Kuna wa kwenye mitandao na wa mtaani...
Wamegawana na wametofautiana...

Ndio utapeli upo.....ila kwa nn uhisi kutapeliwa kwenye kila jamboo?
Kwa nini uongope zaidi utapeli? Huoni km ni udhaifuu....kwa nn hofu hio ya kutapeliwa usiibadilishe ikawa mbinu za kumjua tapeli?.

Hili naongea bila kupepesa macho, bora uibiwe, ukwapuliwe n.k physical...
Ila ukikubali kutapeliwa mtandaoni...
Kubali pia kua wewe kwa mda Huo ni BOYAAAA...

Dunia ya leo wanapokutana watu wawili kufanya jambo la pesa, ni mambo mawili yanahusika..
Kulinda pesa & kuchukua/kupata pesa na yupi ni mshindi itaamuliwa na
Speed of reasoning vs timing...

Hata k.koo wale matapeli wanaokukanyaga mguu makusudi halaf anakuchanganya et kwa nn unamkanyaga? ni timing tuu ile....

Sasa km wewe km network mpk u search baada ya kushtuka eti unajifanya unampangusa au kuomba msamaha,

Network inarudi ukiwa kwenye daladala ndio baasi tenaa usilalamike....
Wewe utaishia kumuita teja kumbe ni
Smart in mind vs you smart in physical..

Sasa nani Teja wa akili?

Mtoa mada toa unachoona kinamanufaa kwa unaowapaa..
Waelimikaji waelimikee,
Matapeli kuleni vichwa muwezavyooo....
Nimefatilia comment zote humu ila hii ya kwako nadhani umefunga mjadala mkuu, umeeleza kwa kina na umegusa kila upande

Kila siku watu wanatapeliwa viwanja na kuuziana magari mabovu, watu wanalia lia matikikiti yameharibika shambani na wanaona ni sawa na wanakubaliana kuwa ni hustle za maisha.
Watu wanasomesha watoto kwa mamilioni ya pesa na bado elimu walizo zipata wasizifanyie kazi (mfano mtu anasoma civil engeneering halafu unamkuta kazama kilombero kwenye mashamba ya mpunga) wanaona hilo ni sawa,
ila mtu akitaka kuwafundisha watu kitu kipya kama hiki kwa kuwa kinaenda tofauti na mazoea yao hata kama ni kwa 10k wanalia lia na kutaka watu waishi maisha ya kukariri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu hakijakaa sawa, I think you are poor person who want to make money from JF members .
 
Unamjua Dr. Strive Masiyiwa?? Anafanya master class of business, economics and entrepreneurship kila wiki facebook na ni billionaire (Google him if you don't know him)
Actually GLOBAL CITIZEN hajasema kua yeye ni millionaire or billionaire ila nilichomwelewa yuko mbioni kuelekea huko kutokana na anachokifanya. Na ameamua kutushtua na sisi kwa anaehitaji aunge tela. Bytheway hatakama baadae atawatoza wanafunzi wake pesa kwani kuna tatizo gani kama elimu mwanafunzi anayoipata / atakayoipata itamsaidia kutatua matatizo yake ya kiuchumi? Ok, kama unaona elimu ni ghali basi jaribu ujinga (kwa maana uko very cheap).

My take kwenye huu uzi ni hiyo content aliyoiandika, siko sana interested na kutaka kujifunza aina hii ya online business (kuna aina nyingi tu za online businesses) whether unataka au hutaki alichokiandika kuhusu being poor and rich it makes sense for any smart person (unless you are idiot).

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amjalie sana mzee wetu masiyiwa huyu mzee amenifundisha mambo mengi sana kuhusu biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, umefunga mjadala hapa, wasipoelewa basi tena!
Imenibidi nirudi kusoma uzi tena....
Maana nimesoma mara ya kwanza sikuona kiashilia cha utapeli wowote..

Nikasema sbb nilikua kwenye gari labda kuna mistar gari ilivyokua inanirusha kwenye bamps basi na mm nikairukaa...Lakn sijaona bado...

Hapa utapeli uko wapi?
Inamaana huna cha kujifunza hata kimoja?

Ndio labda sio vyote alivyoandika vinakufaa,
Lkn kwa nn usichukue kinachokufaa kikakunufaishaa?

kupishana kimawazo na mtizamo baadhi ya sehem ni kawaida...
Mimi na piaa naamini hata wewe, Mtu akitoa thread au ukisoma comments za wachangiaji kuna sehemu mwandishi huyo huyo unakubaliana naye unampa likes na nyingne unapita/unapingana naye..
Hii inatokea popote iwe uzi huu au mwingnee..
Lazima kufanan na kutofautiana kuwepo...
Na hii ndio inatupa kula sasa, na ndio maana kuna elimu sbb watu wanatofautiana.

Sasa Kweli kbsaa mada yote hio point unayoiona ni utapeli tuu? Tena usio na ushahidi,
Pili hajalazimisha mtu kwa chochote....

Mi nilichoona hapo ni ushauri, kufundishana kukumbushana na kutiana moyo...
Ingawa na wewe km kuendelea kwako ni mpk ukumbushwe au utiwe moyoo kuna shida mahalii..

Watu wanamshambulia mtoa mada bila hata ushahidi, kwa mtu mwenye roho nyepesi atashindwa hata kujifunza kilichoandikwa....

Tatzo linakuja pale
Unaposikia kile ambacho hutaki kusikia,
Unapoona kitu kwa yule ambaye hutaki kumuona, hata ni kizuri utakichukia japo moyo unakuuma,
Unaposikia mazuri nakat unapitia mabaya..
Unaposikia/ona mwenzako anafanya kile ambacho hukiwezi/huna uwezo nacho...

Tukubali njia za pesa ni nyingiii....
Na inajulikana hakuna pesa rahisi....
Hili sio jambo la kufundishana,
'Pesa ni ngumu kuichukua ilipo..'

Lakn huu ugumu tusikariri eti lazima utumie nguvu nyingii,
Sehem nyingne ni akili nyingii,

Sasa Mtu sbb umekariri msemo wa 'utakula kwa jasho' we unawaza maguvu tuu...

Ndio maana humu wanaoonekana matapeli wengi ni wale wanaoleta mambo ya online....
Na hii sibishi ipo na imetokana na baadhi yao kufanya utapeli kwa njia hii...
Lkn sio wotee....

Wizi upo kila sehemuu,
Ni wangapi humu wametapeliwa au kuibiwa physical? Jibu ni wengii
Wangapi pia wamefaidika na online bussines?
Jibu ni wengi.

kikubwa ni kukosa uelewaaa....
Mbeba Maroba ya viazi Ukimletea habari za Freelencer lazima ahisi kuna utapeli...
Yy amezoea kutoka jasho leo umwambie ashike simu apate pesa?

Sasa huku ndio kutofautiana na kunatufanya tusaidianaee

Hata hio simu uliyoshika hapo...
Aliyetengeneza hicho kioo na aliyetengeneza hicho unakiona hapo kwenye kioo ni watu wawili tofauti waliotofautiana ila wakaamua kuunganisha utofauti wao kukuletea ww hicho kidubwasha hapo,
Sasa wewe unataka kufanana,
wote wangetengeneza hio simu/hardware uliyoshika hapo, ungeona hicho unachokiona ndani ya simu/software..?

Kubali kutofautiana,
kubali kua mambo yanabadilika.
Kubali pia kujifunza hayo mabadiliko,
Kubali pia mambo mengi hujui,
Kubali kuzidiwa kwenye baadhi ya mambo,

Hata hao matapeli..
Kuna wa kwenye mitandao na wa mtaani...
Wamegawana na wametofautiana...
Usikalili utapelii
Umeenda shule elimu haijakusaidia, umetapeliwa pia.

Ndio utapeli upo.....ila kwa nn uhisi kutapeliwa kwenye kila jamboo?
Kwa nini uongope zaidi utapeli? Huoni km ni udhaifuu....kwa nn hofu hio ya kutapeliwa usiibadilishe ikawa mbinu za kumjua tapeli?.

Hili naongea bila kupepesa macho, bora uibiwe, ukwapuliwe n.k physical...
Ila ukikubali kutapeliwa mtandaoni...
Kubali pia kua wewe kwa mda Huo ni BOYAAAA...

Dunia ya leo wanapokutana watu wawili kufanya jambo la pesa, ni mambo mawili yanahusika..
Kulinda pesa & kuchukua/kupata pesa,

Back
Top Bottom