Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Kesi ya Ontario humu imewafanya watu wakiguswa na nyasi hushtuka kutokana na experience ya kung'atwa na nyoka. It's alright kuchukua tahadhari lakini mi najua sababu iliowafanya wengi kupoteza pesa zao kwenye forex kwa mkuu Ontario ni kutaka ku- Earn before to Learn. Walikua wanavutwa na pesa badala ya process on how wangepata pesa through forex. Na walianza investment even before hawajawa matured in knowledge about the business.
Hebu tusiwatishe wanaotaka kujifunza kwa mkuu GLOBAL CITIZEN, badala yake tuwape tahadhari kua nenda kujifunze, take your time to understand the game (no need to hurry kwani unakimbilia wapi?) do your own research kuhakikisha ulichofundishwa ndivyo kilivyo? (kila kitu kiko mtandaoni sasa hivi) utakapojiridhisha ndipo unaweza kuwekeza fedha zako ukiwa na uelewa wa kutosha ni nini unafanya!

Sent using Jamii Forums mobile app

I got no time for the so called research.

I can smell a crook a mile away.
 
Imenibidi nirudi kusoma uzi tena....
Maana nimesoma mara ya kwanza sikuona kiashilia cha utapeli wowote..

Nikahisi sabb nilikua kwenye usumbufu labda kuna vitu niliruka au sikuvitilia maanani Lakn bado sijaona kiashiria cha utapeli wowote kuanzia kwenye uzi mpk comments,

Wazee Hapa utapeli uko wapi?
Inamaana huna cha kujifunza hata kimoja?

Ndio labda sio vyote alivyoandika vinakufaa,
Lkn kwa nn usichukue kinachokufaa kikakunufaishaa?

kupishana kimawazo na mtizamo baadhi ya sehem ni kawaida...
Mimi na piaa naamini hata wewe, Mtu akitoa thread au ukisoma comments za wachangiaji kuna sehemu mwandishi huyo huyo unakubaliana naye unampa likes na nyingne unapita/unapingana naye..
Hii inatokea popote iwe uzi huu au mwingnee..
Lazima kufanan na kutofautiana kuwepo...
Na hii ndio inatupa kula sasa, na ndio maana kuna elimu sbb watu wanatofautiana.

Sasa Kweli kbsaa mada yote hio point unayoiona ni utapeli tuu? Tena usio na ushahidi,
Pili hajalazimisha mtu kwa chochote....

Ndio sikatai...
Wasiwasi ndio akilii..
Lkn sbb ushasema wasi wasi basi unapande mbili...
Ukweli na uingoo....km ni hvyo kwa nn usichunguze kuliko kuhukumuuu?

Mi nilichoona hapo ni ushauri, kufundishana kukumbushana na kutiana moyo...
Ingawa na wewe km kuendelea kwako ni mpk ukumbushwe au utiwe moyoo kuna shida mahalii..

Watu wanamshambulia mtoa mada bila hata ushahidi, kwa mtu mwenye roho nyepesi atashindwa hata kujifunza kilichoandikwa....


Tatzo linakuja pale
Unaposikia kile ambacho hutaki kusikia,
Unapoona kitu kwa yule ambaye hutaki kumuona, hata ni kizuri utakichukia japo moyo unakuuma,
Unaposikia mazuri nakat unapitia mabaya..
Unaposikia/ona mwenzako anafanya kile ambacho hukiwezi/huna uwezo nacho...


Tukubali njia za pesa ni nyingiii....
Na inajulikana hakuna pesa rahisi....
Hili sio jambo la kufundishana,
'Pesa ni ngumu kuichukua ilipo..'

Lakn huu ugumu tusikariri eti lazima utumie nguvu nyingii,
Sehem nyingne ni akili nyingii,

Sasa Mtu sbb umekariri msemo wa 'utakula kwa jasho' we unawaza maguvu tuu...

Ndio maana humu wanaoonekana matapeli wengi ni wale wanaoleta mambo ya online....
Na hii sibishi ipo na imetokana na baadhi yao kufanya utapeli kwa njia hii...
Lkn sio wotee....

Wizi upo kila sehemuu,
Ni wangapi humu wametapeliwa au kuibiwa physical? Jibu ni wengii
Wangapi pia wamefaidika na online bussines?
Jibu ni wengi.

kikubwa ni kukosa uelewaaa....
Mbeba Maroba ya viazi Ukimletea habari za Freelencer lazima ahisi kuna utapeli...
Yy amezoea kutoka jasho leo umwambie ashike simu apate pesa?

Sasa huku ndio kutofautiana na kunatufanya tusaidianaee

Hata hio simu uliyoshika hapo...
Aliyetengeneza hicho kioo na aliyetengeneza hicho unakiona hapo kwenye kioo ni watu wawili tofauti waliotofautiana ila wakaamua kuunganisha utofauti wao kukuletea ww hicho kidubwasha hapo,
Sasa wewe unataka kufanana,
wote wangetengeneza hio simu/hardware uliyoshika hapo, ungeona hicho unachokiona ndani ya simu/software..?

Kubali kutofautiana,
kubali kua mambo yanabadilika.
Kubali pia kujifunza hayo mabadiliko,
Kubali pia mambo mengi hujui,
Kubali kuzidiwa kwenye baadhi ya mambo,

Hata hao matapeli..
Kuna wa kwenye mitandao na wa mtaani...
Wamegawana na wametofautiana...
Usikalili utapelii
Umeenda shule elimu haijakusaidia, umetapeliwa pia.


Ndio utapeli upo.....ila kwa nn uhisi kutapeliwa kwenye kila jamboo?
Kwa nini uongope zaidi utapeli? Huoni km ni udhaifuu....kwa nn hofu hio ya kutapeliwa usiibadilishe ikawa mbinu za kumjua tapeli?.

Hili naongea bila kupepesa macho, bora uibiwe, ukwapuliwe n.k physical...
Ila ukikubali kutapeliwa mtandaoni...
Kubali pia kua wewe kwa mda Huo ni BOYAAAA...

Dunia ya leo wanapokutana watu wawili kufanya jambo la pesa, ni mambo mawili yanahusika..

Kuna anayetaka Kulinda pesa yake na Mwingne anataka aichukue/aipate hio pesa,
Na yupi ni mshindi itaamuliwa na
Speed of reasoning vs timing...

Hata k.koo wale matapeli wanaokukanyaga mguu makusudi halaf anakuchanganya et kwa nn unamkanyaga? ni timing tuu ile....

Sasa km wewe km network mpk u search baada ya kushtuka eti unampangusa au kuomba msamaha,
Network inarudi ukiwa kwenye daladala ndio baasi tenaa usilalamike....

Wewe utaishia kumuita teja kumbe ni
Smart in mind vs you smart in physical..
Sasa nani Teja wa akili?

Kuogopa kutapeliwa sio tuu kutakunyima wewe kujifunza mambo mengi lkn pia kujikosesha fursa pale unapohofia kitu ambacho hakipoo...

Why don't you face direct those you call them fraud/rascal and see how they fake? insted of being such a mindless dump who fear of nothing?

Kuna tofauti kubwa kati ya anayeogopa kutapeliwa akaacha kbsa hilo jambo, na anayechunguza jambo sbb anamashaka nalo...

Iko very clear
Umeacha = unakosa
Umechunguza = upate, ukose & ujifunze...

Mtoa mada toa unachoona kinamanufaa kwa unaowapaa..
Waelimikaji waelimikee,
Matapeli kuleni vichwa muwezavyooo....
Hii itawafanya wawe smart na sio waoga..
Watu wametapiliwa kura za urais wazi wazi wewe unaleta nadharia hapa......

Dunia ya leo inahitaji wenye akili ya kupekua na kupambanua sio Waoga wa waivyovijuaa..

Sasa wewe endelea kuogopaaa.
Siku unaogopa dili la kweli wenzako wanapita nalo, unakuja kulalamika ooooh mm sina bahati...
Kumbe kichwani umebeba maganda ya miwa na mbegu za mapapai..
1) Ume type kwa kompyuta
2)Ulikuwa na mood ya kuandika

Nambangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom