Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Alafu tumbo unaweza ukatengenezea hata kitandani kwako.
 
Ukiwa kitandani kwako, ukiwa umekaa huku miguu inagusa sakafuni unaweza ukawa unafanya crunches hapo hapo.
Yaani kuanzia kiunoni kuja kichwani kunabaki kitandani, hivyo utakua unajinyanyua na kurudi kama ulivyokua umelala mwanzoni.
 
Sahihi kabisa ila tu asiache kutanguliza mto chini wakati wanafanya crunches.
 
Mdada ambaye anataka kukimbia wikiendi hii anakaribishwa na SingleFather, mjumuike pamoja.
wapi nije
 
Nilinunua elfu 10, ukiwa Feri unataka kuvuka kwenda kigamboni utakuta kuna jamaa ameweka vitu vya mazoezi na hivyo vitairi anavyo.

Kula ni kawaida ila isiwe junk food (Burger, Pizza n.k)
Hahahaaa pale ferry napitaga sana na kumuona yule jamaaa anayeuza hizo mambo
 
Mkuu fungua group then tujjmwage well
 
Tutupieni vyakula vya kula na kutovila kabisa basi hapa wakuu ili tuanze hiyo program ya kupunguza mafuta
 
Tafadhali usiniquote na kuniuliza juu ya hii mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…