Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi?Alafu tumbo unaweza ukatengenezea hata kitandani kwako.
Ukiwa kitandani kwako, ukiwa umekaa huku miguu inagusa sakafuni unaweza ukawa unafanya crunches hapo hapo.Kivipi?
Sahihi kabisa ila tu asiache kutanguliza mto chini wakati wanafanya crunches.Ukiwa kitandani kwako, ukiwa umekaa huku miguu inagusa sakafuni unaweza ukawa unafanya crunches hapo hapo.
Yaani kuanzia kiunoni kuja kichwani kunabaki kitandani, hivyo utakua unajinyanyua na kurudi kama ulivyokua umelala mwanzoni.
wapi nijeMdada ambaye anataka kukimbia wikiendi hii anakaribishwa na SingleFather, mjumuike pamoja.
nimeipata hii hapaaa,,,,
1
MONDAY
Breakfast: 2 boiled eggs and 1 citric fruit too.
Lunch: 2 slices whole meal bread and some fruit.
Dinner: big serving salad and chicken.
TUESDAY
Breakfast: 1 citric fruit and also 2 eggs boiled.
Lunch: salad of green veggies and chicken.
Dinner: veggie salad, 1 orange and 2 boiled eggs.
WEDNESDAY
Breakfast: 1 citrus fruit and again, 2 boiled eggs.
Lunch: low fat cheese, 1 tomato and 1 slice whole meal bread type.
Dinner: salad and chicken.
THURSDAY
Breakfast: 2 eggs, boiled, and 1 citric fruit.
Lunch: fruit.
Dinner: salad and steamed chicken.
FRIDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: steamed veggies and 2 eggs.
Dinner: salad and barbeque or fish.
SATURDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: fruit.
Dinner: steamed chicken and veggies.
SUNDAY
Breakfast: 1 citric fruit and 2 eggs boiled.
Lunch: tomato salad, steamed veggies and chicken.
Dinner: steamed veggies.
Week 2
MONDAY
Breakfast: 2 eggs + citric fruit.
Lunch: salad + chicken.
Dinner: 1 orange, salad and 2 eggs
TUESDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: 2 eggs + steamed veggies.
Dinner: salad, fish or barbeque.
WEDNESDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: salad + chicken.
Dinner: 1 orange + veggie salad + 2 eggs.
THURSDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: steamed veggies + low fat cheese + 2 eggs.
Dinner: salad + steamed chicken
FRIDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: tuna salad.
Dinner: salad + 2 eggs
SATURDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: salad and chicken too.
Dinner: fruit.
SUNDAY
Breakfast: as so far again.
Lunch: steamed veggies + steamed chicken.
Dinner: as the lunch.
You see that this diet has no carbs almost and that is why you need doctor consult before starting it. The menu is repetitive and simple. And for even better results, include workouts at least half an hour per day.
salads angalia zile mbogamboga za kuchoma mafuta na protein nyigi(braccoli,apple,,parachichi ect) whole grain ni mkate wa brown.....sijui atta....hizo citrus fruit ni malimao ,,machungwa,,,matunda makakasi......ukichoka mkate kunywa na yogat plain low fat......ukiongezea na maoez kidogo unapata majubu mazuri zaidi....kwa wenye magonywa wawaone daktari kwa maelekezo kabla kuanza,,,,yai ni zuri sana kwa sababu inapunguza njaa na inavitamin hasa protin rahisi na low colestrol.....mtupe mrejesho
Hahahaaa pale ferry napitaga sana na kumuona yule jamaaa anayeuza hizo mamboNilinunua elfu 10, ukiwa Feri unataka kuvuka kwenda kigamboni utakuta kuna jamaa ameweka vitu vya mazoezi na hivyo vitairi anavyo.
Kula ni kawaida ila isiwe junk food (Burger, Pizza n.k)
Karibu kwenye Body For Life Challenge, kuna uzi nimeuanzisha wenye lengo la kutiana moyo. Itatuchukua wiki mbili kwa routine yote.
Challenge itaanza kesho.
Check username ya Castr angalia posts, kisha threads angalia uzi umeandikwa "Body For Life Challenge: Jiunge na Mimi"
##Body4LyfChallenge
Yeah nimeon man.........Kuna jibu lipo uzi ule kule mkuu
Vyakula sahihi ni vipi hivyo jamaniMazoezi ya tumbo yanahitaji uvumilivu na pia kula vyakula sahii.... Matokeo ya mazoezi huja baada ya miezi miwili hadi mitatu wengine mpaka sita....
HahahahahhHapo itategemea eneo lako la tumbo lina fat kwa kiwango gani, mfano aliye na fat kama ya Peter Msechu itafika huko kwenye mwezi mpaka miezi miwili.
Lakini kama Mr Blue haiwezi kufika huko.