Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

Leo umesema kitu sahihi sana
Kwa kuongezea ili urafiki au udugu udumu basi inabidi kuchunga sana mambo ya kukopeshana pesa. Pesa ina ibilisi inaweza kuvunja urafiki wa miaka kenda.
 
Rafiki yangu alitaka kunikatia kiwanja chacke kama one eka hv kwa gharama ndogo sana ili tuu tujenge na kuish jirani woote. Nlipokaa nkafikiria na kuyasikiliza maini yangu aisee nilichomoa aisee. Na saiv mtaa anaoish yeye na mm ni mbali kabisaaa

Hapa penyewe namsubiri tuje tuanze kugambika maana bila yeye hazishukagi kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hapa penyewe namsubiri tuje tuanze kugambika maana bila yeye hazishukagi kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂
Gambe gambe gambe.....daaah, umenikumbusha mbali sana mkuu enzi zangu
 
Rafiki yangu alitaka kunikatia kiwanja chacke kama one eka hv kwa gharama ndogo sana ili tuu tujenge na kuish jirani woote. Nlipokaa nkafikiria na kuyasikiliza maini yangu aisee nilichomoa aisee. Na saiv mtaa anaoish yeye na mm ni mbali kabisaaa
Ndio hivyo mkuu, rafiki jenga naye hata 30 kilometers away
 
Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda Mjerumani miaka hiyo wakati bado anaitawala Tanganyika kwa mabavu
Rais Samia analeta maendeleo kila kona ya Nchi. Hakika huyu mama ni zawadi ya Mungu kwa watanzania.
 
Mm hata nnapopanga chumba/nyumba hua naenda kupanga sehemu ambayo hakuna anaenijua na nikigundua mtaa huo kuna mtyu ananijua basi nabadili njia ya kupita.

Wakati nasoma, nilikua najitahd nikae na roommate ambao hatujuan kabisa. Siwez kukaa na rafiki angu room moja yaan kwny usajili nikiona tumeongozana na rafki yangu kwny folen bas ntafanya ujanja ujanja niondoke kwanza ili yy asajiliwe afu mm ntakuja sajiliwa bdae.

Hata nikiwa naenda kula mgahawan/cafe, kabla cjaingia hua naangalia je kuna mtu ananijua humu?? Nikimwona bas naenda zangu kula kwny cafe nyngne.

Inshort spend bugdha bugdha na kujuana juana sana.
 
Hii n kweli asee
 
Duuuh, hii yako sasa ni too much mkuu
 
Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu
 
Marafiki mlioshibana mnaweza kama hivyo, kununua viwanja, kushauriana n.k. mkipata wenza, hawatakubali upate ushauri huo tena ilhali wao wapo, na kunakuwa na wivu, kwamba unamjali rafiki zaidi.
 
Marafiki mlioshibana mnaweza kama hivyo, kununua viwanja, kushauriana n.k. mkipata wenza, hawatakubali upate ushauri huo tena ilhali wao wapo, na kunakuwa na wivu, kwamba unamjali rafiki zaidi.
Yes, that's very true brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…