Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

Hata marafiki wa kazini kutembeleana majumbani sio poa kuna usnitch sana unatokeaga. Marafki mliokutana kazin huwa sio real friends kabisa, pale ni kazi ndo imewaungasha tu na sio kingine, hivyo msipende kutembeleana majumbani. Ukitaka kujua nyie sio marafiki mmoja aache kazi uone kama mtaendelea kutafutana kama mwanzo.
 
Rafiki wa kweli na mnafiki unaweza kukutana naye pahala popote pale. Mimi rafiki wengi niliokutana nao kazini bado tunawasiliana ingawa kampuni ilifungwa mwaka 2018
 
Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
 
Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania, huyo Lissu msaliti wa Nchi mrudisheni ubeligiji.
 
Lissu Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Samia.
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Samia ataitupeleka uchumi wa juu.
 
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October mwaka jana 2020 tulimpigia kura Samia kwa 98% Rais Samia kipenzi cha Watanzania.
 
Rais Samia kipenzi cha Watanzania tumchagua kwa kishindo 2025.
 
Back
Top Bottom