byakunu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 583
- 1,318
Hata marafiki wa kazini kutembeleana majumbani sio poa kuna usnitch sana unatokeaga. Marafki mliokutana kazin huwa sio real friends kabisa, pale ni kazi ndo imewaungasha tu na sio kingine, hivyo msipende kutembeleana majumbani. Ukitaka kujua nyie sio marafiki mmoja aache kazi uone kama mtaendelea kutafutana kama mwanzo.