Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

Sio Rafik hata ndugu yako yoyote msijenge, kupanga au kuishi jirani sana mtakosana mda sio mrefu mkuu kwa sababu hiyo hiyo ya wake zenu
 
hii sio urafiki tuu
hata unduguu ukitaka uwe wa kuheshimina na kuthaminiana kaeni mbali mbaliiii
kama sio kujenga basi hata kupanga kaeni mbali mbaliiiii
 
Back
Top Bottom