Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Uko sahihi mkuu Sema wapo wenzio wanahangaika na sisi huwez amini.
Watakuwa vichaa hao. Yani niache kutongoza mademu wazuri ninaowajua live nianze kuhangaika na misukule ya humu ambayo hujui kebin zao zimekaeje kaeje!!! that is a complit madness!
 
Amen thank you so so much lovely sister. Dada mpole dada mwenye ustaarabu wake. [emoji173][emoji173]

Nakupenda zaidi dada. Mungu akubariki sana. [emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…