Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeachwa tena ndugu yangu.
Nicheck WhatsApp niko nje ya nchi kiduchu
Imekuaje umeachika tena na wewe?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Havichekeshi ila nimekucheka. Pole mwaya ndo life lakini mi mwenyewe nimejuachisha niko singo
 
Imekuaje umeachika tena na wewe?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Havichekeshi ila nimekucheka. Pole mwaya ndo life lakini mi mwenyewe nimejuachisha niko singo
We acha tu nyie wadada mba mambo; yaani hamjui nini mnataka. Nitakupa story nikija; nataka ni ku surprise huko Zenji

Hivi unajua kuendesha manual car?
 
Niseme nini kwa habari yako Babe?
Najua unajua namna huu moyo upo kwako..

Na nilivyokumiss.. Unajua ninavyokulalamikia kila iitwapo leo...
Ombi langu: Mwisho wa mwaka huu naomba ufanye namna...
Dooh yaani nimetoa tabasamu nene mno hadi mdomo umegoma kurudi kawaida. Naelewa dearest sis na hata wewe wajua vile nakupendaga bure na ninavyokumissigi. [emoji7][emoji7]

Tatizo mambo mob akii si unajua tena dada yangu kipenzi. Ila nitajitahidi wallahi siku yoyote ukiwa na muda wa kutosha nikuje nishinde tena tupate yale mambo yetu mazuri. [emoji16][emoji16]
 
Kuendesha manual car naanzia wapi lakini? Fanya uje kisiwani tulewe zetu tusahau mapenzi kwa muda
Nakuja soon, nikupeleke 5* moja hivi matata. Alafu nikupe koneksheni za kisiwani.

Jifunze manual, kuna kitu inaozea garage hapo kisiwani na mpango wa kuivisha sina. Inatakiwa uipashe pashe

Ila mimi mapenzi hayanipi shida ma'am Mkenya wangu nishamzoea atarudi tu
 
Nimekucheck WhatsApp
 
Anizingue anaanzia wapi kwa mfano? Sio hata yeye halafu. Niko na kaka ake Heaven Sent ananipeleka resi acha tu rafiki yangu. Uje tu nikusimulie yanayonisibu.
Mpaka nimepungua kilo.
We Heaven Sent mkanye kaka yako tafadhali[emoji17][emoji17] hatuchelewi kwenda kuwapa ndugu zetu wa visiwani connection [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom