Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Kuna jamaa humu alikuwa anajiita sijui Cephalocaudi, sijui mlikuwa mnadate naye kweli, aiseee nilikuwa nawaonea wivu sio mchezo.
Jamani bby wangu. Hata nilishasahau jamani kama yupo. Mapenzi yetu yalikua ya jukwaani tu hata PM sidhani kama tuliendaga.
Nimejaribu kumtag hata ID yake siooni.

Sasa wivu ulikua unaona wa nini lakini?[emoji1787][emoji1787]
 
Kwasisi wageni tunapata shida kweli, hatujui hata tuonane na yupi
 
Back
Top Bottom